ka picha

ka picha

d781df7180a84f0c4fff1c72870ade60.jpg
 
Yaelekea Barabara ilifungwa kwa muda.

Maana si kwa kujiachia hivyo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Pombe, Pombe...

Ikikolea inakuwa noma...

Pombe, Pombe...

Ikikolea inakuwa soo...

Pombe ikikolea kwanza hafagiliwi Mtu...

Hata ukiwa kama FIDODIDO utajiona Bonge la Mtu...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kulaaa tu mama..pekenyuaaa tekenyaaa tunyamaa totee uto
ad kweny mifupaaa...afu ukifikaa geto semaa una blid.

images-2-jpg.582770
 
Unatabia za kidada mno tena housegirl. Tupia picha zako acha kuchafua thread za wenzio
Nafikiri unashindwa/umeshindwa kabisa kunielewa.

Lengo ni kwamba, naona nikikunukuu kwenye Picha ulioiweka na kisha kuchangia nikachojisikia kuchangia inakuwa kama usumbufu/nakusumbua kukutana na Minukuu mingi.

Kwahiyo kuepukana na Hali kama hiyo naona bora niinukuu Picha husika na kuchangia kile ninachojisikia kuchangia kwenye ile Picha husika.

Mfano, kwenye Uzi unakuta kuna Picha labda Nane hivi (8) ambazo mimi ndio nimejisikia kuchangia. Sasa badala ya Mimi kukunukuu wewe mara Nane, naona bora ninukuu Picha.

Yaani inakuwa imetosha sana, kuliko kukunukuu wewe.

Na huo Mtindo sijaanza Jana wala Leo, ni tokea enzi na enzi.

Kwahiyo huu ni Uchangiaji wangu, wala usikutishe.

Inabidi unizoee tu.

Zaidi ya hayo,

Mimi nakutakia Kila la kheri katika Maisha yako ya kila Siku, na Mungu Mwema akufanyie wepesi kwa kila jambo lako.

Ubarikiwe sana
 
Nukuu hata 500 huwa nazipata kwenye uzi wa kupeana likes sembuse hapa picha mbili tatu. Kumbe lugha kali huwa inasaidia sana.

Kuna thread ya kicheko ni afya kabla haijaunganishwa nilikuambia kwa lugha ya kawaida na nzuri kabisa haukujibu kistaarabu wala nn ukaendelea na michezo hiihii. kila mtu alilalamika wa haukujali nilishangaa na nikashangaa umehamia kwa style hio hio kwenye hii thread pia
Natembelea sana threads za picha hasa za mshana jr sijaona kitu kama hicho,hio enzi na enzi inachagua threads za watu!?
All the best.nshachafua uzi mzuri,natafuta mwingine kuanza upya

Hicho unachonishutumu kwenye hiyo Sredi unayodai Mimi wala sijakiona, ndio kwanza sasa unaniambia na sijui kinachoendelea.

Hakuna cha Lugha kali wala nini, Mimi sijakuchukulia kivile wala nini, yaani mpaka usawa huu bado nakuchukulia unajifurahisha nafsi yako, na wala sitofanya Mabishano yoyote na wewe.

Na ndio maana kule kwenye ule Uzi wa Kugongeana, umejitahidi kuniwasha lakini mwenzio sikustuka hata chembe, na ndio kwanza sikutaka kukujibu chochote, nimekugongea kisha nikauchuna kuonesha kuwa sikukutilia maanani.

Na kingine, ule Uzi ni zaidi ya Upendo, Ucheshi, Utani, na vingine Vingi tu ambavyo siwezi kuviorodhesha.

Kwahiyo tuanze Mabishano kule, si itakuwa Kituko cha Hali ya juu.

Wengine unaweza kuwapata kwa Mabishano/Malumbano pande kama zile lakini sio Mimi.

Yaani nakuahidi haitotokea.

Maana hata kwa mfano, ningejibishana na Wewe kule kwenye kugongeana kwa Mimi jinsi nilivyo na jinsi ninavyojijua ingekuwa kama najishusha Hadhi yangu.

Kuna wakati wa Utani nafahamu, na kuna wakati nikiona Shari hasa Shari yenyewe inatokea upande wa Jinsia yako kusema ukweli hapo itabidi nitanue ili kutengeneza Mazingira.

Halafu kingine nashindwa kuelewa!?

Kwanini huyu Mjomba umemtaja sana?

Halafu kama kule kwenye Kugongeana ilikuwa haina hata haja!

Tatizo ni nini kwani?

Unaweza niambia kama kuna tatizo lolote kisha Mimi niongee nae Kiutu Uzima.

Mimi huwa sipendi Michongo ya kujadili Watu.

Hayo sio mapigo yangu.

Mbali na hayo,

Mimi nakutakia Kila la kheri katika Maisha yako ya kila Siku, na Mungu Mwema akufanyie wepesi kwa kila jambo lako.

Ubarikiwe sana
 
Back
Top Bottom