Ukweli ni mzuri hata pale unapouma, umeambiwa ukweli, kama anamaanisha kuacha na kuona hakua amefanya sawa endelea mbele, kupima afya hapo ni muhimu sana, pia jitathimini wewe "umeharibu" kiasi gani katika hilo eneo, kabla hujakata hukumu, jikatie wewe kwanza, aliyeharibu mara moja hana tofauti na mara kumi, wote wanaingia katika kapu la kuharibu,
Napenda nayesema ukweli hata kama unauma