K- lynn ulitisha Sana kwenye hii masterpiece work of art

mcTobby

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
2,988
9,322
K-Lyinn
Noorah
Aha

CHORUS
Kama ni penzi labda utapata ukimwacha
(niambie nani huyo?)
Maybe chochote utapa unachokitaka
(ndio nachotaka hicho)
Nasema penzi labda utapa ukimwacha
(niambie basi nani huyoo?)
Ohh baby vyote utapata ukirejea hapa
(ndio nalotaka hilo)

VERSE 1
Kila siku kaka unanifuata
Unadai ya kuwa unanitaka
(ndio ukweli)
Eti unanipenda unaniweza
Hulali bila mimi kuniona
Pesa unaleta sijakuomba
Naishi home kwetu bila shida
(makaratasi tu hayo)
Unanishangaza
Wewe unamchumba
Sasa kwangu ni nini unataka
Na anavyokupenda
Nimeshasikia
Nadhani ukimwacha atadata

Repeat Chorus

VERSE 2
Oh no no no
Penzi kwangu ni thamani
(najua hilo)
Kutumiwa sikubali
(sijaja kwa hilo)
Naona kama unanigasi
sitaki
Ondoka nenda zako mbali
Ehh hee hee hee
(tuliza hasira baby)

Chorus

Verse 3 (Baba styles)
Hey hey hey
Mchumba ni damn no
Ninatacho si game no
Si kwa dos wala fame no
Easy X5, Benz au Lexus
Kinachokufaa ni penzi au ni Lexus
Usinizungushezungushe
Mpaka nikalia
Au furaha yako
Mpaka kidume nidondoshe tears
Penzi ndio Bonge la zawadi
Na wewe si unalihitaji
Niweke mimi incharge
Nikupe
Kuna vyovyote
Ninavyosaka
Wababaikizi chaa
Ni hivyo mimi nataka
Yeahhh
Kuitwa playboy sipendi me
So baby girl would you marry me
Yeh yeh yeh

Chorus

haha
Ni K-Lynn
K-lynn baby
Na baba styles yoh
Noorah
Said comoriee
Metro Studio

Chorus

MÊmENtO HoMO
 
K-Lyinn
Noorah
Aha

CHORUS
Kama ni penzi labda utapata ukimwacha
(niambie nani huyo?)
Maybe chochote utapa unachokitaka
(ndio nachotaka hicho)
Nasema penzi labda utapa ukimwacha
(niambie basi nani huyoo?)
Ohh baby vyote utapata ukirejea hapa
(ndio nalotaka hilo)

VERSE 1
Kila siku kaka unanifuata
Unadai ya kuwa unanitaka
(ndio ukweli)
Eti unanipenda unaniweza
Hulali bila mimi kuniona
Pesa unaleta sijakuomba
Naishi home kwetu bila shida
(makaratasi tu hayo)
Unanishangaza
Wewe unamchumba
Sasa kwangu ni nini unataka
Na anavyokupenda
Nimeshasikia
Nadhani ukimwacha atadata

Repeat Chorus

VERSE 2
Oh no no no
Penzi kwangu ni thamani
(najua hilo)
Kutumiwa sikubali
(sijaja kwa hilo)
Naona kama unanigasi
sitaki
Ondoka nenda zako mbali
Ehh hee hee hee
(tuliza hasira baby)

Chorus

Verse 3 (Baba styles)
Hey hey hey
Mchumba ni damn no
Ninatacho si game no
Si kwa dos wala fame no
Easy X5, Benz au Lexus
Kinachokufaa ni penzi au ni Lexus
Usinizungushezungushe
Mpaka nikalia
Au furaha yako
Mpaka kidume nidondoshe tears
Penzi ndio Bonge la zawadi
Na wewe si unalihitaji
Niweke mimi incharge
Nikupe
Kuna vyovyote
Ninavyosaka
Wababaikizi chaa
Ni hivyo mimi nataka
Yeahhh
Kuitwa playboy sipendi me
So baby girl would you marry me
Yeh yeh yeh

Chorus

haha
Ni K-Lynn
K-lynn baby
Na baba styles yoh
Noorah
Said comoriee
Metro Studio

Chorus

MÊmENtO HoMO
Kwa ujumla ngoma zote za K-lyn was Superb,
check it out....
 

Attachments

  • K Lyn - Vipi Nitakudhibiti.mp3
    2.9 MB
  • K Lyn ft Chid Benz - Crazy Over You(Remix).mp3
    5.3 MB
  • K Lyn ft Jay Moe - Nikipata Wangu(Remix).mp3
    3.8 MB
  • K Lyn ft Noorah - Chochote Utapata.mp3
    7 MB
K-Lyinn
Noorah
Aha

CHORUS
Kama ni penzi labda utapata ukimwacha
(niambie nani huyo?)
Maybe chochote utapa unachokitaka
(ndio nachotaka hicho)
Nasema penzi labda utapa ukimwacha
(niambie basi nani huyoo?)
Ohh baby vyote utapata ukirejea hapa
(ndio nalotaka hilo)

VERSE 1
Kila siku kaka unanifuata
Unadai ya kuwa unanitaka
(ndio ukweli)
Eti unanipenda unaniweza
Hulali bila mimi kuniona
Pesa unaleta sijakuomba
Naishi home kwetu bila shida
(makaratasi tu hayo)
Unanishangaza
Wewe unamchumba
Sasa kwangu ni nini unataka
Na anavyokupenda
Nimeshasikia
Nadhani ukimwacha atadata

Repeat Chorus

VERSE 2
Oh no no no
Penzi kwangu ni thamani
(najua hilo)
Kutumiwa sikubali
(sijaja kwa hilo)
Naona kama unanigasi
sitaki
Ondoka nenda zako mbali
Ehh hee hee hee
(tuliza hasira baby)

Chorus

Verse 3 (Baba styles)
Hey hey hey
Mchumba ni damn no
Ninatacho si game no
Si kwa dos wala fame no
Easy X5, Benz au Lexus
Kinachokufaa ni penzi au ni Lexus
Usinizungushezungushe
Mpaka nikalia
Au furaha yako
Mpaka kidume nidondoshe tears
Penzi ndio Bonge la zawadi
Na wewe si unalihitaji
Niweke mimi incharge
Nikupe
Kuna vyovyote
Ninavyosaka
Wababaikizi chaa
Ni hivyo mimi nataka
Yeahhh
Kuitwa playboy sipendi me
So baby girl would you marry me
Yeh yeh yeh

Chorus

haha
Ni K-Lynn
K-lynn baby
Na baba styles yoh
Noorah
Said comoriee
Metro Studio

Chorus

MÊmENtO HoMO
Dah...ngoma hiyo...wakubwa walifaidi..dah 🤭
 
K-LYNN angekomaa kwenye muziki angefika sehemu nzuri sana.
Alikuwa na vitu ambavyo wanasinii wenzake wa kike hawakuwa navyo.
Naamini kama angeamua kuwa ndiyo sura ya muziki wa BONGO angefanikiwa sana.
Alikuwa anatoa HITSONGS ambazo zilikuwa zinasikilizwa Afrika Mashariki yote, sijui ikawaje.
 
K-LYNN angekomaa kwenye muziki angefika sehemu nzuri sana.
Alikuwa na vitu ambavyo wanasinii wenzake wa kike hawakuwa navyo.
Naamini kama angeamua kuwa ndiyo sura ya muziki wa BONGO angefanikiwa sana.
Alikuwa anatoa HITSONGS ambazo zilikuwa zinasikilizwa Afrika Mashariki yote, sijui ikawaje.
Muke wa tajiri asingeweza kuendelea kuimba imba kwa njaa.
 
K-Lyinn
Noorah
Aha

CHORUS
Kama ni penzi labda utapata ukimwacha
(niambie nani huyo?)
Maybe chochote utapa unachokitaka
(ndio nachotaka hicho)
Nasema penzi labda utapa ukimwacha
(niambie basi nani huyoo?)
Ohh baby vyote utapata ukirejea hapa
(ndio nalotaka hilo)

VERSE 1
Kila siku kaka unanifuata
Unadai ya kuwa unanitaka
(ndio ukweli)
Eti unanipenda unaniweza
Hulali bila mimi kuniona
Pesa unaleta sijakuomba
Naishi home kwetu bila shida
(makaratasi tu hayo)
Unanishangaza
Wewe unamchumba
Sasa kwangu ni nini unataka
Na anavyokupenda
Nimeshasikia
Nadhani ukimwacha atadata

Repeat Chorus

VERSE 2
Oh no no no
Penzi kwangu ni thamani
(najua hilo)
Kutumiwa sikubali
(sijaja kwa hilo)
Naona kama unanigasi
sitaki
Ondoka nenda zako mbali
Ehh hee hee hee
(tuliza hasira baby)

Chorus

Verse 3 (Baba styles)
Hey hey hey
Mchumba ni damn no
Ninatacho si game no
Si kwa dos wala fame no
Easy X5, Benz au Lexus
Kinachokufaa ni penzi au ni Lexus
Usinizungushezungushe
Mpaka nikalia
Au furaha yako
Mpaka kidume nidondoshe tears
Penzi ndio Bonge la zawadi
Na wewe si unalihitaji
Niweke mimi incharge
Nikupe
Kuna vyovyote
Ninavyosaka
Wababaikizi chaa
Ni hivyo mimi nataka
Yeahhh
Kuitwa playboy sipendi me
So baby girl would you marry me
Yeh yeh yeh

Chorus

haha
Ni K-Lynn
K-lynn baby
Na baba styles yoh
Noorah
Said comoriee
Metro Studio

Chorus

MÊmENtO HoMO
Kwa kifupi sijawahi regret kusikiliza nyimbo za K-lyn na gud enuf ni kwamba alishajua kuwa akifanta collabo ndio anaua kabisa na ndio maana nyimbo chache ambazo amefanya pekee bila kumshirikisha mtu hazikufanya vzr sana mfano ni ile ya Ni vip nitakudhibiti. The other track from nikimpata wangu ft Jay famous aka J Mo, crazy over u ft Squeeze, nipe mkono and others.....
 
Muke wa tajiri asingeweza kuendelea kuimba imba kwa njaa.
Failure to appreciate arts is a diabolical syndrome which fractures Africans' creativity and financial success..
Beyonce ni mke wa Bilionea mwenye hela kuliko Marehemu, lakini hajaacha kuimba mpaka leo....
Angetumia vizuri jina la mume wake angefika mbali kwenye tasnia ya muziki huko duniani....
 
Haka katoto ka kinyarwanda kalimfanya mzee mengi auweke uzee pembeni na kukavutia waya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom