Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Hii ni kazi wanafanya so inamaana ni biashara coz wanaingiza pia hela kwa hii project,.....!!Jeshi halifanyi biashara hivyo si sahihi kusema wamepewa tenda ila ni jukumu la kusambaza vifaa hivyo tu.
Kazi juu ya kazisafii sana
Kweli wamekosea Jeshi linatoa hudumaJeshi halifanyi biashara hivyo si sahihi kusema wamepewa tenda ila ni jukumu la kusambaza vifaa hivyo tu.
Sio bure kabsa, maafande watapata shavu kmtindo au unamaanisha uzalendo?UCHUMI PU.
SASA MZUNGUKO WA FEDHA UKWAPI HAPA. TENDA HIYO ANGEIPATA JUMA AND SONS SUPPLIERS, HELA INGEFIKA HADI KWA MAMA MUUZA GONGO.
NA NINA UHAKIKA JESHI LINAPIGA MZIGO BURE KABISA.
Hiyo ni huduma sio biashara.Jeshi halifanyi biashara hivyo si sahihi kusema wamepewa tenda ila ni jukumu la kusambaza vifaa hivyo tu.
Hyo point mkuuKwani wizara ya elimu ingesambaza kungekuwa Shida gan?
Swali hilo ni la msingi ingawa sababu inaweza kuwa ni magari.Kwani wizara ya elimu ingesambaza kungekuwa Shida gan?
Hongera JPM.Tunahitaji sasa waalimu walio mahiri katika masomo ya Physics,Chemistry na Biology,bila kusahau Laboratory Technicians.Jeshi la Wananchi wa Tanzania,JWTZ limepewa kazi ya kusambaza vifaa vya maabara vyenye thamani ya Tsh 16.9bn katika Shule za Sekondari 1,696 nchini kote.
Leo akiongea na waandishi wa habari amesema tenda hiyo imetolewa na serikali kwenda kwa jeshi la wananchi wa tanzania na mapema kazi hiyo itaanza vijijini na sehemu zote za mjini
Lengo la serikali ya awamu ya tano ni kutoa elimu bure na vifaa vyote vya maabara ili watoto wapende masomo ya sayansi kwa wingi na kuondoa tatizo la uhaba wa vifaa.
Pia amewaonya wale wanaopotosha watu kwamba wanauwezo wa kuwapatia ajira kwenda Jwtz au JKT na kwamba hamna kitu kama hcho kwa nafasu zote Tanapa, polisi n.k
Jwtz sasa wamepewa Tenda ya kusambaza vifaa za Maabara katika shule zote za serikali na vifaa hivyo vina thamani ya billion 16.9
Swadakta mkuuHongera JPM.Tunahitaji sasa waalimu walio mahiri katika masomo ya Physics,Chemistry na Biology,bila kusahau Laboratory Technicians.
Hapo gharama kwa serikali ni mafuta na per diems za hao askari, wangechukua watu binafsi gharama zingekuwa nyingi zaidiSwali hilo ni la msingi ingawa sababu inaweza kuwa ni magari.
Hata kama sio bure kabisa wakicheleweshewa malipo wanapiga kimyaUCHUMI PU.
SASA MZUNGUKO WA FEDHA UKWAPI HAPA. TENDA HIYO ANGEIPATA JUMA AND SONS SUPPLIERS, HELA INGEFIKA HADI KWA MAMA MUUZA GONGO.
NA NINA UHAKIKA JESHI LINAPIGA MZIGO BURE KABISA.