JWTZ wapewa kazi ya kusambaza vifaa vya maabara Thamani ya 16.9Bln katika Shule za Sekondari 1,696

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,385
Jeshi la Wananchi wa Tanzania,JWTZ limepewa kazi ya kusambaza vifaa vya maabara vyenye thamani ya Tsh 16.9bn katika Shule za Sekondari 1,696 nchini kote.

033b2a2a7029eb5d9162e3b8bcbeb375.jpg

Leo akiongea na waandishi wa habari amesema tenda hiyo imetolewa na serikali kwenda kwa jeshi la wananchi wa tanzania na mapema kazi hiyo itaanza vijijini na sehemu zote za mjini

Lengo la serikali ya awamu ya tano ni kutoa elimu bure na vifaa vyote vya maabara ili watoto wapende masomo ya sayansi kwa wingi na kuondoa tatizo la uhaba wa vifaa.

Pia amewaonya wale wanaopotosha watu kwamba wanauwezo wa kuwapatia ajira kwenda Jwtz au JKT na kwamba hamna kitu kama hcho kwa nafasu zote Tanapa, polisi n.k

Jwtz sasa wamepewa Tenda ya kusambaza vifaa za Maabara katika shule zote za serikali na vifaa hivyo vina thamani ya billion 16.9
 
UCHUMI PU.

SASA MZUNGUKO WA FEDHA UKWAPI HAPA. TENDA HIYO ANGEIPATA JUMA AND SONS SUPPLIERS, HELA INGEFIKA HADI KWA MAMA MUUZA GONGO.

NA NINA UHAKIKA JESHI LINAPIGA MZIGO BURE KABISA.
 
Sio bure kabsa, maafande watapata shavu kmtindo au unamaanisha uzalendo?
 
Hongera JPM.Tunahitaji sasa waalimu walio mahiri katika masomo ya Physics,Chemistry na Biology,bila kusahau Laboratory Technicians.
 
UCHUMI PU.

SASA MZUNGUKO WA FEDHA UKWAPI HAPA. TENDA HIYO ANGEIPATA JUMA AND SONS SUPPLIERS, HELA INGEFIKA HADI KWA MAMA MUUZA GONGO.

NA NINA UHAKIKA JESHI LINAPIGA MZIGO BURE KABISA.
Hata kama sio bure kabisa wakicheleweshewa malipo wanapiga kimya
 
Supplier anaitwa S.Scientific Centre..
JW anatoa storage na namna ya kuvikisha mashulen tu...
S.S.C anavifikisha katika vituo teule vya jesh tayar kupekwa ktka shule husika...kwa kanda ya pwan centre ni lugalo ulipofanyika uzinduzi jana..
Note: JW at this point is not a supplier ..
 
Hii kazi ingeweza kupewa sekta binafsi wakaifanya vizuri tu, Jei wii wakawakamate wauaji huko kanda maalum ya Rufiji KIbiti
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom