JWTZ vyombo vya ulinzi na usalama waliokula kiapo kulinda usalama na kutetea watanzania viko wapi wakati huu watu wanatekwa na kuuawa?

JWTZ vyombo vya ulinzi na usalama waliokula kiapo kulinda usalama na kutetea watanzania viko wapi wakati huu watu wanatekwa na kuuawa?

Abraham Lincolnn

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2018
Posts
3,146
Reaction score
6,008
Haya majeshi sijui yaliundwa kwa ajiki ya kuitetea CCM na kuilinda serikali? Wametekwa watu mchana kweupe, Mzee Ally Kibao, na sasa Humphrey
Polepole, kisa wamezungumza na wametoa maoni yao ya wazi na yenye nia njema na nchi, ila wanatekwa na majeshi yetu yapo tu! Kazi yao kufanya jogging na kukimbia kimbia huku wakisubiri posho za kwenda Kongo na convoy za UN! Useless kabisa.

Kila siku mnaimba "Naapa naahidi Mbele ya Mungu Tanzania nitakulinda mpaka kufa"

Haya sasa mtu katekwa kisa kuitetea Tanzania, Watu wanatekwa na wanauawa mchana kweupe, mabilioni ya watanzania yanaibiwa, Miradi kama mwendokasi, ujenzi nk. Inahujumiwa, mpo tu!

Ni aibu kubwa majeshi yetu ya ulinzi na usalama kuwepo na kushuhudia haya, vyombo vya ulinzi na usalama vimekuwa vibaraka wa CCM na serikali, havipo tena kwa ajili ya wananchi. Mengi yanatajwa wizi unafanyika, Lakini hawaonyeshi uzalendo hata kidogo.

Endapo itatokea Polepole akatoweka kisa amekuwa akizungumza na kutoa maoni yake kikatiba, Itakuwa ni one of the biggest failure! AIBU KUBWA SANA.
 
Matumaini pekee ya wananchi yamebaki kwenye jeshi cha ajabu jeshi lenyewe linashindwa kujitambua kwamba wao ndo wapo kwa ajili ya wananchi kuwalinda na kuwatetea pale wanapoonewa. Nashangaa heti jeshi kazi yao kulinda mipaka ya nchi Je unawezaje kulinda mipaka bila rasilmali za ndani? Polepole juzi aliweka wazi mambo mengi jeshi lenyewe lipo kimya
 
Back
Top Bottom