JWTZ tunaomba msaada wenu wa haraka

Mjuba ujue unasomwa humu! Je ukijibiwa hao watano ni wachache mno kati ya milioni sitini utajisikiaje?
 
Yule jamaa kaandika kwenye kipeperushi chake msitamani jeshi jeshi kutwaa madaraka
 
Mjuba jeshi letu ni tiifu halina swaga hizo, hizo swaga zipo nchi za afrika magharibi kwa akina traore na doumba
 
Raha ya kula na kipofu unanyofoa minofu unamuachia mifupa, hao watu nafikiri wametengewa sahani yako kubwa siyo bule tu kujizima data.
 
Kuandamana vpi? 😂 Mushaona dalili za kuachwa solemba na harakati zenu mukaabika munataka jeshi liwasaidie, unadhn linaongozwa kwa hisia zako? Tukutane October Barabaran 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…