Hivi Jeshini kuna wataalamu? Kuna kitu gani walishawahi gundua chenye manufaa? Maana majeshi ya wenzetu huko usa ndio technology inapoanzia sijui kwa hapa kwetu ebu tujuzeni.
Jeshi la TZ hamna kitu, uvumilivu wa wananchi unawafanya desperate job seekers kukimbilia huko! Ngoja sekeseke la Chadema Kuchukua nchi 2015 liingie uone watu watakavyoukana ujeshi kama ilivyokuwa libya.
ukishajua itakusaidia nini?je umewezaje kujiita ID hiyo bila kujua iko vp?.ntakusaidia kidog6 Lt Conal huyu anakua na nyota moja pamoja na ngao ya bibi na bwana begani kila upande.