JWTZ Kufungua Chuo Cha Ulinzi Wa Taifa

JoJiPoJi

JF-Expert Member
Aug 8, 2009
2,907
3,261

shimbo.jpg

Jeshi la Wananchi wa Tannzania(JWTZ)litafungua Chuo Maalum CHA ulinzi wa Taifa kitakachotoa mafunzo maalum ya uzamili na stratejia ya ulinzi na usalama kwa muda wa mwaka mmoja kwanzia tarehe 10 januari 2011 maeneo ya kunduchi jijini Dar es salaam

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaaam Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Abdurahaman Shimbo amesema elimu hiii haikuwai kutolewa hapa nchini na kwamba aliyetakiwa kupata elimu hii alkitakiwa kwenda nje ya nc
hini kusomea tena kwa gahrama kubwa.

''Elimu hiii ilikua haipatikani hapa nchini na wote waliobahatika kuipata elimu hii walipaswa kwenda kuisomea nje ya nchi ambapo gaharma huwa kubwa zaidi,kwa mfano mimi nimesoma elimu hii kwa fedha za kitanzania millioni 80 alisema Shimbo.

Mnadhimu mkuu aliendelea kufafanua kuwa chuo hicho cha ulinzi wa taifa kitakua kina uwezo wa kuchukua wanafunzi 60 kwa mwaka lakini kwa k
uanzia kitaanza na wanafunzi 20

Chuo hicho kilianza kujengwa mwezi machi mwaka jana na kumalizia mwenzi disemba mwaka huo huo na ni mahususii kwa maofisa wa nagazi za juuu jeshi la polisi,Uhamiaji na Jeshi la Wananchi

Kufanikich
a kwa ujenzi wa chuo hiki ni umetokana na ufadhili wa serikali ya Tanzania na China amabapo kwa uapande wa serikali ya Tanzania imetumia kiasi cha fedha za kitanzania shilingi Billioni Mbili na Upande wa China imetumia kiasi cha dola za kimarekani Billioni Tatu.
 
Back
Top Bottom