kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,745
majirani wanaopenda kulinganisha ubora na ufanisi wa JTWZ na majeshi yao ktk medani za vita, inabidi wajitafakari sana.
Akweli ni kwamba JWTZ ni moja kati jeshi bora mno ktk ukanda huu wa east,south and central Africa.
Kwa kuthibitisha hilo,hivi karibuni MUNUSCO imewatunuku medali wanajeshi wa tanzania wanaopambana huko Congo.
na imewatunuku kutokana na uwezo wao wa kimapambano.
Video hii hapa:
Hapa chini nakuwekea picha maalumu za JWTZ zilizochukuliwa hivi karibuni wakiwa uwanja wa mapambano ktk misitu ya beni Congo DRC.
NB: habari,picha na video ni kwa hisani ya account ya Facebook ya mwandishi na correspondent wa ITV anayeripotia toka congo ndg. eshongulu eshongulu eshongulu almarufu kama Austere Malivika.