Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,832
- 630
Wadau naomba kufaamishwa kisheria hii imekaaje,mara nyingi sana hapa lugalo ukipita asubuhi una kuta wanajeshi wakiwakamata waendesha pikipiki na bajaj kwa makosa aitha kwa kutokuvaa helmet au kupita kushoto aka kutanua.
Mara nyingi huwapa adhabu ya kufyeka nyasi kwenye campus yao.
Swali wajame kisheria inaruhusiwa?
Sio unyanyasaji kweli huu?
Nawakilisha!!!!
Kuna mamo mengine yanasikitisha mno.
Yote hii inatokana na raia kutojua haki zake za msingi. Basi!!
Ni ujinga wa "pedestrians": Madereva wengi (hata wa magari) hawafahamu "Sheria za Barabarani" - Leseni waliletewa! Na matokeo yake ndiyo hayo - Wale vijana huwa nawaona wakifanya zoezi la kufyeka kila nikibatika kupita njia hiyo! It is SAD lakini kila mara huwa najiuliza "Hii nchi inatawaliwa na NANI hasa?" Kwa maana kila mtu ni Polisi, Mahakama, na Magereza - It simply a BANANA Republic!
Wakuu wakati mwingine mnakosea sana, unajua hii nchi ina sheria nyingi tu zingine ziko sawa na za maana zingine hovyo na zimepitwa na wakati. lakini kwa mfano kutanua barabarani ni kosa na watu wanajua na police wanaona wanakaa kimya sasa pale jeshini ukidakwa unafanya kazi kama zile ni sawa ambazo hata kisheria zinaitwa ( community services) ile adhabu ni nzuri kuliko kupeleka mtu mahakamani akamalize mda na karatasi.
Hao jamaa wananiudhi kupindukia. Inaonekana wamekosa cha kufanya. Nina mpango wa kuuza mkweche wangu ninunee pikipiki halafu niwatanulie waliko wanikamate ili nilianzishe. Yaanai wanaudhi sana uatadhani si watanzaniaWadau naomba kufaamishwa kisheria hii imekaaje,mara nyingi sana hapa lugalo ukipita asubuhi una kuta wanajeshi wakiwakamata waendesha pikipiki na bajaj kwa makosa aitha kwa kutokuvaa helmet au kupita kushoto aka kutanua.
Mara nyingi huwapa adhabu ya kufyeka nyasi kwenye campus yao.
Swali wajame kisheria inaruhusiwa?
Sio unyanyasaji kweli huu?
Nawakilisha!!!!