Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,537
Sasa hapo shida ni TPA au TRA. mchawi wa maendeleo ya hii nchi ni TRA.
Sikubaliani na wewe hata kidogo,watu waliosomea fani zao wanaweza kufanya vizuri chini ya usimamizi wa JPM na PMNaomba kumpa ushauri Rais Magufuli, kwa muda mrefu wafanyakazi wa Bandari wametuzingua sana, sasa ikibidi kabidhi Bandari kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania angalau kwa miaka 2-3 walete ufanisi na kukusanya kodi na ushuru inavyostahili.
Kama nikibahatika kuonana na rais ushauri wangu wa kwanza kwake JWTZ alitumie katika kila nyanja kama ni Muhimbili basi uongozi utoke JWTZ kadhalika kwa TPA,TRA,CCPB,MASHIRIKA YA UMMA,BOT,TCRA,TANROAD, NK. Yaani hapo kuna faida kubwa sana kuliko kuendelea kuwatumia raia.
Dhana kwamba JWTZ wanafanya kazi kwa weledi haina msingi. Hukupita JKT? Huoni jeshi lilivyokosa nidhamu kiasi cha kuthubutu kupiga raia mara kwa mara?
Nani kakwambia jeshi wanajua namna ya kuongoza kazi za bandari? They don't have the managerial competence needed to run a port.
Kuna mpangilio jeshini, lakini sio nidhamu. Mpangilio wenyewe uliopo jeshini unaletwa na woga na wala sio nidhamu.
katika taasisi zenye nidhamu na maadili JWTZ wanaongoza katika nchi hii
Kabla ya hapo tujikumbushe ufisadi wa meremeta kule kwa wanajeshi.Naomba kumpa ushauri Rais Magufuli, kwa muda mrefu wafanyakazi wa Bandari wametuzingua sana, sasa ikibidi kabidhi Bandari kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania angalau kwa miaka 2-3 walete ufanisi na kukusanya kodi na ushuru inavyostahili.
hao ndo wana njaa ya kufa mtu!hivi huko JWTZ ni safi sana?!