Freelancer
JF-Expert Member
- Sep 22, 2008
- 2,950
- 2,149
Last edited by a moderator:
Big up JWTZ, "commando" x 1000
Hila nimependa zaidi video zilizojitokeza za vita ya kagera baada ya Mkanda, rare precious footages. God bless our previous leaders.
Why on earth such images are not used as propaganda tools only god knows, wanaenda kukutana na wasanii jumamosi kuzindua wimbo wa muungano, rais na wabunge wa jamhuri ya muungano. We dont know if its for ceremonial purposes only or it is supposed to be a national solidarity building propaganda.
Either way kama ni propaganda ina maana taifa limekosa weledi wa mshikamano unaohitajika katika kipindi kigumu na mitiani yake sasa tumeamua kuwafanya wanamuziki ndio njia pekee ya vijana. Unajiuliza mizizi ya umoja inajengwa na nyimbo tu ama actions and through invoking emotions, wanajua wenyewe CCM.
OK I am excited and all lakini ukweli wenyewe ni kwamba most of what we saw on the training video ya makomandoo wetu, naona kama vile ndio training za awali tu kwenye majeshi ya wenzetu hata kwenye tv zao, sasa ukilinganisha na drone, long range missiles, madege na how equiped they are bora tusimchokoze mzungu wajameni, ukizingatia na marekani wana kambi jirani ndio kabthaa.
Maana wenzetu baada ya ukamandoo tuliouona which is impressive for us with none of that experience, na tunaona mambo hayo kwenye moving images only. Lakini wazungu baada ya hapo wanaingia kwenye simulation za computer and then in field ambapo wanatengeneza mazingira halisi ya vita. Sasa tena ukichanganya na masilaa yao what chances have we got, jamani tusinunue ugomvi na mzungu kabla atujarudisha uzalendo alioujenga Nyerere maana that is the only weapon which will lead us to victory.
embu cheki kidogo UK army in simulation training, hapo sijapata video yote maana walitengeneza simulation ya Kandahar or wherever they were located in Afghanistan for training purposes na vita kabisa ya risasi bandia. Anyway na sisi kwakua tupo chini ya jumuiya ya nchi za malkia si tutakuwa tunapeleka wanafunzi Sandhurst academy, ama?
Hii trela muipeke kule MALAWI make noana wanataka kipondo
Nidhamu ya Jeshi imeanza kushuka hizi video zinavujaje jamani, adui awezi kuzitumia kweli?
Kuna jamaa wanafyatua risasi halafu jamaa ana crawl. Angalia kwenye majani zinvyomkosa kosaMbona sioni mazoezi ya kukwepa risasi?
Bravo.....Mazoezi hatari haya.
Heshima kwa makamanda 92kj
Kuna jamaa wanafyatua risasi halafu jamaa ana crawl. Angalia kwenye majani zinvyomkosa kosa