Mzee mwenzangu juve2012 hii habari ya Xherdan Shaqiri umeipokeaje?
In an interview with Tuttosport, the Swiss star stated: 'Juventus would definitely be a nice option.
'Juventus are a big club, who wouldn't want to play for them... I don't think Juventus would be a step back in my career.

ubarikiwe conte kwa maamuzi yako ya kulibeba taifa
Wakuu huyu Vidal si tetesi alikuwa Mgonjwa?? Namuona ndani ya game kama kawaida...
Tetesi za waingereza? Vidal yuko poa na anakamata dimba na Pogba na Marchisio kama unavyoona.
Forza Juve
siku nikiwa na nguchiro Giovinco basi sintakuwa na haja ya kuwa na Shakiri...
njoo tukuuzie huyo Kilikuu
dogo ni mtamu mnoo...
But amekosa nafasi ya kuthibitisha kipaji chake kama alivyoaminiwa Parma
Ulimuona Coman lakini? Ndio maana nakwambia njoo tukuuzie huyo kilikou
Tumepata Pogba mwingine.Tuna bahati sana.Na yule Pereyra nae unamwonaje kaka?
Tumepata Pogba mwingine.Tuna bahati sana.Na yule Pereyra nae unamwonaje kaka?
Huyo dogo Coman anambio Kama enzi za Henry sasa hivi Juve hata ikatokea kuuza basi pesa watazopata wanaweza kutengeneza timu vizuri Kabisa.Hivyo vitoto vyote moto wa kuotea mbaliiii, sema jamaa zako tu hawakawii kuwapiga bei, kila nikimkumbuka Giacherrini naumia sana kwa mtima
Ila Pereyra bado hana kiwango kama cha mwenzake, huyu Coman habari nyingine kabisa