zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,181
- 39,641
Nilionya sana mkanishambulia leo hii yakwapi..... Ligi mbovu hupelekea timu mbovu. Mmekosa internal competition ndio maana timu haijazoea mechi za pressure namna hii.Wewe Tatizo lako ni wivu tu na utakuwa Shabiki la AC Milan tu maana mmemind kuwapa kwa Mkopo Higuain... Poleni mlimtaka wenyewe na akirejea Turin anakuwa na ubora wake Chelsea wanamsubiri hamjui kumtumia... so hasira zenu ndio Mnaishambulia Juve... Pale hata uweke fitina kwa kibibi kizee utaishia kupata maumivu tu... Njama tulishazizoea sana lakini uwezo wetu ni mkubwa na tunajua kucheza karata zote...
Wewe utakuwa ni mtu wa maumivu sana kumbe na Atletico Madrid pia unaishabikia muhahahaha... ile timu ina kimavi pole sana...
Kama Kununua wachezaji wa nje ni kosa basi EPL ilingekuwa ilishakufa kitambo sana... na kiufupi ligi ya Italia msimu huu ndio inatizamwa sana... I hope Mwakani Icard atatua Mjini Tulin ili uumie zaidi
Na washukuru tu Approach ya Diego Simeone Second leg ilikuwa poor walikuwa wanatoka kitambo hawaHahahahahha huu mkwara uchwara..... Enhee Juve ndio walikua accurate jana??
Shida mna midfield mbovu mkasajili sio kukalia kujaza washambuliaji..... Hivi kweli kwa midfield ya Can na betancur ndio mbebe UEFA
U can't be serious
Walizidiwa mchezoHahahahahha huu mkwara uchwara..... Enhee Juve ndio walikua accurate jana??
Shida mna midfield mbovu mkasajili sio kukalia kujaza washambuliaji..... Hivi kweli kwa midfield ya Can na betancur ndio mbebe UEFA
U can't be serious
Ajax walikuwa na luck game tu but sio kwamba ni wazuri kuliko Juventus.. Kocha wa Ajax tu kasema Juve na Real Madrid waliiogopa timu yao tu.Nilionya sana mkanishambulia leo hii yakwapi..... Ligi mbovu hupelekea timu mbovu. Mmekosa internal competition ndio maana timu haijazoea mechi za pressure namna hii.
Muache tabia ya kununua wachezaji bora wa Serie A matokeo yake mnashinda scudetto kila mwaka ila UEFA mtabaki kuliona kwenye TV tuu.
Utabaki hivyo hivyo tu... Na mazungumzo baada ya habariNa washukuru tu Approach ya Diego Simeone Second leg ilikuwa poor walikuwa wanatoka kitambo hawa
Timu nusu ya wachezaji ni Age ya 30+ Chezeni huko huko ligi ya mchangani ya Akina Torino ,Chievo ,Parma ndio level yenuUtabaki hivyo hivyo tu... Na mazungumzo baada ya habari
Hivi inakuwaje mtu anaisema vibaya timu iliyofika mbali katika ligi ya Mabingwa?Timu nusu ya wachezaji ni Age ya 30+ Chezeni huko huko ligi ya mchangani ya Akina Torino ,Chievo ,Parma ndio level yenu
Mmemfika mbali wapi.............Hahahahahahahahah Serie A inawadanganya Juve ni timu ya kawaida sana MkuuHivi inakuwaje mtu anaisema vibaya timu iliyofika mbali katika ligi ya Mabingwa?
ok Omba mechi basi ule zako ili utulieMmemfika mbali wapi.............Hahahahahahahahah Serie A inawadanganya Juve ni timu ya kawaida sana Mkuu
Hahahahahahahahah mchezaji kama Emre Can Liverpool walitimua nyie mkaenda kubeba mkiamini atawapa UEFA Hahahahahahahahahok Omba mechi basi ule zako ili utulie
Jana wakati tunatizama Mechi wapenzi wa Liver walikuwa wanamsifia Erme sielewi wewe ni Shabiki wa timu ipi!Hahahahahahahahah mchezaji kama Emre Can Liverpool walitimua nyie mkaenda kubeba mkiamini atawapa UEFA Hahahahahahahahah
Mchukueni tu atawasaidia kubeba Scudetto tu sio vinginevyoJana wakati tunatizama Mechi wapenzi wa Liver walikuwa wanamsifia Erme sielewi wewe ni Shabiki wa timu ipi!
Juve ni Team iliyokamilika... we will come back again... Soccer ndio ilivyo ila kwa juve si timu ya level Ndogo.... Tukimchukua Icardi nadhani ndio mtazidi kuichukia na chuki zenu ndio Baraka Kwetu
Icard kwenye kivuli Cha Ronaldo? Ni kumpoteza tuu... Ronaldo anataka Timu icheze kumzunguka yeye ndomana unaona dyaballa wa msimu huu kiwango kimepungua...Jana wakati tunatizama Mechi wapenzi wa Liver walikuwa wanamsifia Erme sielewi wewe ni Shabiki wa timu ipi!
Juve ni Team iliyokamilika... we will come back again... Soccer ndio ilivyo ila kwa juve si timu ya level Ndogo.... Tukimchukua Icardi nadhani ndio mtazidi kuichukia na chuki zenu ndio Baraka Kwetu
Jana wakati tunatizama Mechi wapenzi wa Liver walikuwa wanamsifia Erme sielewi wewe ni Shabiki wa timu ipi!
Juve ni Team iliyokamilika... we will come back again... Soccer ndio ilivyo ila kwa juve si timu ya level Ndogo.... Tukimchukua Icardi nadhani ndio mtazidi kuichukia na chuki zenu ndio Baraka Kwetu
Even Barca wamesota sana tokea last time walipokuwa mabingwa wa UCL hivyo ni Subra tuKwa kipa huyo mlie nae na hiyo defense ya shikamoo jazz band msahau tu UCL crown.
Bibi mzee ataendelea kusindikiza kama overhaul haitafanyika
Kashajisaulisha huyoEven Barca wamesota sana tokea last time walipokuwa mabingwa wa UCL hivyo ni Subra tu