unaposema refa wa barca unamaanisha nini mkuu kubali kushindwa usilete vijisababu visivyo na maana kama ni mpira mlijitahidi kucheza ila mlizidiwa dakika sita refa aliwapa aone labda mtarejesha lakini wapi ndio neymar akaja kukukatisheni tamaa kabisa na yule ndugu yenu vidal jana hakuna alichofanya zaid ya kucheza rafu na kuna mpira neymara kaupiga beki wenu katia mkono refa kapeta mwisho pogba anakuja kuvutana na dani alves anataka penalt wapiiiii poleni wakuu season ijayo jitayarisheni mtafika mbaliDah Juventus tumepigwa mbaya half Ya kwanza hatukucheza na Tevez hakuwa kwenye Game... Ndio Football lazima kukubali matokeo bao la 3 limekata maini mpaka Refa wa Barca kaona amalize tu sababu wapiga picha wamejazana kama wanampiga pic Celebrity wetu everlenk au Wacha1 , chama langu la Italy limeumia nimemuonea huruma sana Pirlo kumuona mtu mzima analia sio kitu kizuri Bora mtoto utasema ah kawaida ila Mwanaume mtu mtu mzima ambaye utegemei kulia utajua kuna jambo na imemuuma vibaya. Hongera kwa barcelona.
Sweetheart Mourinho inatosha sasa, umehuzunika vya kutosha, ukuje jamvini baby yapo mengi mazuri ya kutuhabarisha yanayoendelea kwenye club yenu.......yaliyopita si ndwele tugange yajayo.....
Thank you sweetheart, maumivu ya kufungwa kwenye fainali yalipoa kesho yake mpenzi in fact I have never been proud of my Juventus kama juzi, nimependa vijana walivyojituma na kujitoa mazima, they played with passion na hakuna kingine ningependa zaidi
Dybala na Khedira tushawatia kibindoni, bado tutaongezea vijana wengine wawili watatu, kwa kweli tunaenda vizuri sana
#ForzaJuventus
Thank you sweetheart, maumivu ya kufungwa kwenye fainali yalipoa kesho yake mpenzi in fact I have never been proud of my Juventus kama juzi, nimependa vijana walivyojituma na kujitoa mazima, they played with passion na hakuna kingine ningependa zaidi
Dybala na Khedira tushawatia kibindoni, bado tutaongezea vijana wengine wawili watatu, kwa kweli tunaenda vizuri sana
#ForzaJuventus
It's on then
My dear nimekumiss mpaka basi!!....... Jamani hakuna mazuri huku ya kushare nasi? usitufanyie hivyo swt!!!!..........BTW Hongera sana vijana wako kule Copa America wanafanya kazi nzuri sana wamewakilisha vyema.
I miss you more Bebito mpaka natetemeka, nilikua na kamuda flani hivi nikaamua kufanya tour ya ndani, nikasahau na machungu ya fainali ila sasa nimerudi
Mashindano yamejaa ubabe, undava na wehu, na yamepoteza kabisa radha ya soka la Latin America.
Asante dear......Natumai sasa umerudi kwa nguvu zote tunahitaji kusikia mengi kutoka pande hizi .
Ahahahaahahahahhahahahahahahahahahahahahahahaha!!!!
Mimi ni Juventus ila kuanzia leo nahamia FC BARCELONA timu bora
Kiukweli nimefarijika kuwa mshabiki wa barcaKaribu Barca Kaka, achana na timu za kijinga jinga kama Juve, mara ya mwisho kuingia Fainal UEFA sijui lini. Ameingia msimu huu kwa kubahatisha baada ya akaze analegezaaa!!! Kweli Barca dume, mademu wote wa Italy wanamzimikia, mpaka bibi yao Juventus anampenda Barca!!!