aleyn hii gem messi atafanya kila hali ili ascore 1.awe mfungaji bora maana saivi ana magoli 10 na c.ronaldo ana 10Poleni sana, na hivi mmemchokoza Messi kuwa magoli ya ku_dribble anafunga akiwa Spain tuu, mtamkoma.
Hata Manuer Neuer alisema kuwa atamuona Messi kuwa yeye ni nani, na matokeo yake uliyaona. Sasa subiri muone ngoma mtakayokwenda kuicheza.
aleyn hii gem messi atafanya kila hali ili ascore 1.awe mfungaji bora maana saivi ana magoli 10 na c.ronaldo ana 10
sasa hapo atataka yee ascore ili achukue gold shoes 2. atakapo chukua ndoo tayari kashajisafishia njia ya kuchukua kwa mara ya 5 Ballon d' or patam hapo 3. suarez anataka awaonyeshe evra na yule jamaa alie msababishia ban ya miezi 6 kiasi flani alikula hasara hapa atataka kuwaliza hapatoshi hapo 4. luis enrique (kocha) anataka aweke record one season triple cups patamu hapo 5 . mzee mzima xavi anatoka camp nou na heshima zote la liga copa del rey na uefa champions leage . @the team barca uspime!!
Poleni sana, na hivi mmemchokoza Messi kuwa magoli ya ku_dribble anafunga akiwa Spain tuu, mtamkoma.
Hata Manuer Neuer alisema kuwa atamuona Messi kuwa yeye ni nani, na matokeo yake uliyaona. Sasa subiri muone ngoma mtakayokwenda kuicheza.
Mimi huwa nawashangaa mnaposema hii Game haitabiriki, haitabiriki kiaje labda!!??
Hii Game Juventus anakaa bila wasiwasi kabisa, labda ni unpredictable sababu hatuwezi kujua Messi na Neymar watapiga ngapi, hatuwezi kujua Messi atawapiga matobo akina nani, hatuwezi kujua Messi atafunga kwa free kick/kwa driblling au kwa one-two.
Harafu siku hizi umekuaje yaani everlenk, umekuwa mzembe mzembe, hata wewe wa kusema hii Game haitabiliki, ni kweli everlenk!!?? Unanisikitisha kwa mtu kama wewe kusema hiv. Au kwa kuwa hauna imani na Man U unaona hata Barca vile vile, hii sio Man U. Barca hatuna mchezo kabisa.
huyu everlenk bado anachembe za kutoipenda Barca sababu yeye ana roho ya Man U, kuishabikia Barca ni kujikana. Unapaswa kuishabikia Barca tuu barani Ulaya na wala usiwe na timu nyingine.
ha haha ha ha ha ha ha ha ha naziona 6 pia messi 3
Mmeanza kushikana uchawi wenyewe na buluda bado hajawapitia.
Kwi kwi kwi kwi.....eti kuishabikia Barca ni kujikana, lol
punguza jazba mkuu hii ndio barca iliyoshindikana kwenye ulimwengu wa sokaKuona kisichokuwepo ni utaahira, ukiendelea kwa mtindo huu utaangalizia game milembe
Nini Nesi bana, watu tuna madoctor!?
Forza BIANCONERI.
punguza jazba mkuu hii ndio barca iliyoshindikana kwenye ulimwengu wa soka
Teh teh teh, jazba zitoke wapi na keshokutwa nanyua ndoo?
Forza BIANCONERI.
mkuu ndoo ipi maana hata kimkapa ni ndoo japi inakaa maji n.k
mfano dokta nani!?
Tutamkosa Chiellini though
The Uefa Champions League Trophy, nadhani nimeeleweka Mkuu
Dr.Arturo, Dr.Marchisio, Dr.Pogba bado kuna safu ya Maprof, Philosophers and saints
#FinoAllaFinale
Poleni sana ,vipi Barzagal naye amepona?