Di Marzio saying you're in talks with PSG and Cavani's represantatives..
I know Teves is leaving, but tayar msha-beba Dybala, so sioni sababu ya cavani, kwan Re-buy clause ya Morata ikoje?? RMA washapiga hodi?? Kama bado sioni mantiki ya kumsajili cavani wakat Morata bado yupo..
Mkuu wangu MosDef, akiondoka Carlitos tutabaki na hao watoto tu, Dybala na Morata ambao kwa nature ya club na ligi yetu wanaweza kuchukuliwa na clubs mingine wakati wowote
Lakini tukimpata Cavani moja tunaongeza depth in our squad lakini pili tunakua na mchezaji matured anayeweza kukaa nasi kwa muda mrefu bila kuwa na wasiwasi kua labla ataondoka kesho
Sidhani kama Real watamtaka Morata leo au kesho, itabidi awe na msimu super zaidi ya huu ili arudi Bernabeu, so for now he's staying put, Dybala bado hatujajua kama ataendeleza makali yake so namkaribisha Cavani kwa mikono miwili, Llorente amekua flop tu, arudishwe kwao Bilbao
Dybala "the new Suarez" huyo anakubebesha kombe tena msimu ujao, hatar sana bwana paulo, nnachokiona hapa morata atakuwa 3rd choice next season, Dybala and Cavani upfront, ts not a bad shout though..
Bora Cavani nae arudi italy sasa..
Hongereni kwa droo
droo?
ndugu yangu kama upo macho malizia game...
goma limeongezwa dakika 30 na hapa ni maji ya jiooni Juve washawashikisha dole gumba la mguu hawa komba mwiko
Mlistahili kushinda ila mpira ule mnacheza barca tayari ndoo tayari tushaichukua