Mourinho umesikia huko Italy?Mahakama ya rufaa imetupilia mbali kesi ya jinai ya Luciano Moggi na kumuona hana hatia yoyote,pia hakukuwa ushahidi wa kutosha kuiteremsha Juve daraja mwaka 2006.Juve sasa inadai fidia ya pauni milioni 443 kutokana na hasara iliyopata kwa kushushwa daraja!FIGC wameiomba Juve isidai pesa badala yake irudishiwe makombe yake iliyopokonywa!Chama cha soka kinaomba po!Haki imeonekana.Ukweli umejulikana.Na hii ni baada ya Moggi kutoa ushahidi wa wiretaps zinazoonyesha klabu karibu zote za Italia kuwa na mchezo wa kupiga simu kwa FIGC zikiomba refa fulani wanayemuamini achezeshe.Sasa ya Juve ilikuwa na nini tofauti na nyingine hadi ionekane kuwa ni kosa?ulikuwepo ushahidi wa Moggi kuomba marefa lakini hakuna ushahidi kuwa marefa hao walipewa mlungula na kuibeba Juve.Alipoweka hadharani mawasiliano ya Moratti wa Inter na FIGC hapo hapo haraka haraka kesi imemalizwa na Juve hana hatia.Kuna nini hapo?Inter were behind Calciopoli na Mungu kawaumbua.Tena wao hata UEFA cup hawapo,Juve iko fainali ya Ulaya.Juventus imewaumbua mafioso wa soka ya Italia!Aibu!Aibu kubwa kwa soka ya Italia.Umafia michezoni,kisa?kamari!Ningekuwa na uwezo ningeihamishia Juve yetu EPL waitaliano wendawazimu kama wabongo tu!
Teh teh teh teh, wapi Gang Chomba?
Duh!!! Mmeshaanza maneno yenu....... Lol,Yaani Jana nilifurahi sana sana yaani acha tu.......nimefurahi maombi yetu yamejibiwa kama tulivyotaka......Hongereni sana tena kwa mara nyingine.
Sasahivi urafiki wetu unaanza kuwa wa mashaka chezea mwali wewe.....!!!! Kwa tambo siwawezi ngoja nikae kimya tu nisubiri hiyo tarehe 6 Berlin, ila heri yangu mimi wewe ni rafiki yake daddy Aleyn hata ukishinda nitafurahi tu ila duh!! Damu nzito kuliko maji......
Teh teh teh, naona hata wewe sasa unayaogopa Mabuluda, lol wapi Malafyale
Hatujafika hapa kwa bahati mbaya kama ile Chelsea ya Ntuzu ya 2012, tupo hapa kwa sababu we deserve to be here na tunalihitaji hilo kombe zaidi ya Barca wanavyolitaka, si kwa ajili yetu tu bali kwa mustakabali mzima wa soka la Italia
Unaona scandal ya Calciopoli inaanza kuwekwa bayana, Juve iko fainali, scudeto makwapani, Copa Italia nayo ni suala la muda tu, Tevez is scoring for fun, Morata hashikiki na Allegri the master tactician, VIPER Kaonekana tena jamvini..........kama unajua kusoma alama za nyakati everlenk utajua tu huu ni mwaka wa Bianconeri
Nawatakia kila la kheri na dingi yako

Kaka yangu Malafyale sababu anapenda ligi na Dada yake ndo maana amemkana hata mwanae Suarez..... Huu mtanange ni wa kukata na shoka kila mmoja anataka kuweka history katika nchi yake, Barca anatamani amiliki wanamwali 3 huku nanyi hivyo hivyo patamu hapo...... Kwa sababu moja tu hata ukichukua Kombe haitaniuma nayo ni kwamba unaibeba Italy unairudisha katika heshima yake hilo tu.
Daddy kaniambia niwaheshimu wakubwa la sivyo mpaka tunafika tarehe 6 Uzi wenu huu ungefika page 1000. Naona naye Ntuzu anajirudisha kwako baada ya kushindwa jana.
Juventus ilianzishwa na vijana wanafunzi wadogo sana kule Torino mwaka 1897.Ikaitwa Juventus (vijana) kwa sababu hiyo.Baadae ilipokua na kuchukuliwa na tajiri wa viwanda mzee Agnelli ikabatizwa jina la "la fidanzata d'italia" (the darling/girlfriend of Italy) na wafanyakazi wa viwandani toka Italia ya kusini.Kule Italy historically kuna mgawanyiko wa kitabaka,la walionacho na wasionacho.Matajiri wengi kihistoria wanatokea Northen Italy na walalahoi wengi wako Southern Italy,mahala ambako kuna wahamiaji wengi toka nje ya Italy ambao walikwenda kuajiriwa viwandani na mashambani miaka hiyo.Hivyo waitaliano wenyewe wanabaguana,wale wa North ambao wengi ni blondes wakijinasibu kuwa maburuda asilia na kuwaona watu wa South wenye nywele nyeusi walalahoi "wakuja".Sasa Juve ilikuwa Turin kwa matajiri lakini ikapata sapoti ya wafanyakazi wengi toka South kutokana na kuwa timu ya wanafunzi na wafanyakazi wa viwanda na mashamba ya akina Agnelli.In a special case,mashabiki hao wengi mwanzoni walikuwa waingereza waliokuwa viwandani kwa Agnelli.Hivyo kutokana na kupendwa na watu wengi toka pande zote za Italia na haswa Kusini kwa walalahoi walio wengi,Juve ikaitwa "mchumba" wa Italia.Kule Italy mwanamke anaheshimika sana na kuwakilisha upendo.Pia mwanamke mzee anaheshima zaidi kwa utamaduni wao miaka ile.Kwa hiyo Juve kuitwa "lady" ni kutokana na kupendwa sana enzi hizo.Miaka ya 1930's Juve maarufu iliyotwaa vikombe na kutoa wachezaji wengi kwenye national team ya mzee Pozzo iliyotwaa World Cup ilikuwa na wachezaji wenye umri mkubwa.Ndipo huyu Lady kwa utani akaanza kuitwa bibi mzee(la vechia signora).Kwamba it's no longer a team of young men (Juventus) but the opposite.Hadi leo Juve ina mashabiki wengi Italia ya kusini kwa akina Napoli kuliko kule North iliko Turin,Milan etc.Hii ndio sababu Juve ikicheza na timu za kusini kama Napoli huwa uwanja unajaa moshi wa fataki na polisi wanakuwa na kazi ngumu uwanjani.Ile ndio Yanga ya Italy.Hata mgawanyiko uliopelekea kuzaliwa Torino f.c ulitokana na hilo,pale baadhi walipotaka Juve ihame Turin,wengine wakapinga isihame na kujitoa kwenda kuanzisha Torino.Ndio kuna Derby Dela Mole ambapo juzi tulivyofungwa na Torino uliona Mourinho alikunywa bia wiki nzima kuondoa stress na hata ubingwa hakushangilia.Yeye kwake ubingwa ni hadi amfunge Torino.Naskia ubingwa wa mwaka huu hautambui na alibeba mayai viza kwenye ndege from Dar to Turin kwenda kuchafua basi la Torino kama kawa ha ha haa!
Kaka yangu Malafyale sababu anapenda ligi na Dada yake ndo maana amemkana hata mwanae Suarez..... Huu mtanange ni wa kukata na shoka kila mmoja anataka kuweka history katika nchi yake, Barca anatamani amiliki wanamwali 3 huku nanyi hivyo hivyo patamu hapo...... Kwa sababu moja tu hata ukichukua Kombe haitaniuma nayo ni kwamba unaibeba Italy unairudisha katika heshima yake hilo tu.
Daddy kaniambia niwaheshimu wakubwa la sivyo mpaka tunafika tarehe 6 Uzi wenu huu ungefika page 1000. Naona naye Ntuzu anajirudisha kwako baada ya kushindwa jana.
hahahahahahah lol! Mabuluda wengine nomaaa, nikaona isiwe tabu, burudani ya soka ikianza kuwa kama jukwaa la siasa starehe yote inaondoka. Sawa Mkuu umesikika.
Kwenye michezo heshima ni muhimu sana lakini don't show too much of it utashindwa kuwa mshindani mzuri.
Kwa hiyo kama unataka kuujaza huu uzi kwa mbwembwe, bakshasha, madongo, tambo, vioja na vibwenzo unakaribishwa sana
Waalike pia na 'mashosti' wote wa JF wanaopenda michezo kama BelindaJacob na Maria Roza
#FinoAllaFinale #ForzaJuve
Mpwa we acha tu...
Mkuu nilikuwa kwenye kilele cha furaha, furaha ikaleta msala home. Ngoja nimelizane na bibi yenu then tukutane Berlin.Hahaha mi Niko kwa baba Ancelotti. Utajuta kukutana Na baba. Hao kina Messi, Neymar Na Suarez mwisho wao ni kwa Munich lkn sio kwa Ramos au Velain.
Nakuja Na Asprin
Mkuu nilikuwa kwenye kilele cha furaha, furaha ikaleta msala home. Ngoja nimelizane na bibi yenu then tukutane Berlin.
Nisalimie everlenk ukimwona.