Juve 2012 nilikua sitaki kupost k2 leo but umeniacha hoi kweli. Wale napoli naona hela za Cavani zinawawasha kweli. Badala wangemuuza Cavani Man city alafu wangewabana City wawape na Dzeko juu. Naona wanachamba tu kuwapa madrid hela nyingi kwa ajili ya Higuain.
Juve 2012 nilikua sitaki kupost k2 leo but umeniacha hoi kweli. Wale napoli naona hela za Cavani zinawawasha kweli. Badala wangemuuza Cavani Man city alafu wangewabana City wawape na Dzeko juu. Naona wanachamba tu kuwapa madrid hela nyingi kwa ajili ya Higuain.
Klabu za Juventus na Ac Milan za Italia zimeshika nafasi ya kwanza na ya nne miongoni mwa klabu zilizoneemeka na mapato makubwa kutokana na ushiriki wao wa UEFA champions league,imesema taarifa ya UEFA.Katika msimu wa 2012-13,klabu zote zilizoshiriki mashindano hayo,zilipokea jumla ya euro milioni 904.6 kutokana na ushiriki,matangazo ya tv,pamoja na perfomance related revenue.Pamoja na kutolewa katika hatua ya robo fainali na waliokuja kuwa mabingwa Bayern Munich,Juventus imepata mapato makubwa kuliko timu nyingine yeyote katika msimu huo.Juve wamepata jumla ya euro milioni 65.3 wakati Bayern wakifuatia kwa kitita cha euro milioni 55.046.Finalist wengine Borussia Dortmund walipata euro milioni 54.161,lakini Milan waliotoka raundi ya pili,wameshika nafasi ya nne wakiweka kibindoni euro milioni 51.4,wakifuatiwa na Madrid(euro milioni 48.4),Barcelona(euro milioni 45.5)na Paris Saint-Germain(euro mil 44.7).Kutokana na Italia kubakiwa na timu mbili tu katika msimu huo,haki zote za matangazo ya tv za Italia ziligawanywa kwa Juve na Milan tu,hivyo kusababisha klabu hizo mbili kupata mapato makubwa kuliko kawaida.
Mbona tumewasajili wachezaji wawili wazuri na wa daraja la juu mkuu.....Carlos Tevez na Fernando Llorente?....Sasa mbona kwenye usajiri tumekua doro kama tumevuna mpunga mrefu kuliko team zote?
Forza Bianconeri!
Mbona tumewasajili wachezaji wawili wazuri na wa daraja la juu mkuu.....Carlos Tevez na Fernando Llorente?....
Na bado wataongezwa wengine....
Forza Bianconeri.......
Kutokana na Italia kubakiwa na timu mbili tu katika msimu huo,haki zote za matangazo ya tv za Italia ziligawanywa kwa Juve na Milan tu,hivyo kusababisha klabu hizo mbili kupata mapato makubwa kuliko kawaida.
Labda tuongeze kiungo mmoja tu....Lakini tulionao ni wazuri tu mkuu......Marchisio, Pirlo, Asamoah, Pogba na Vidal ni wazuri na walijitahidi sana msimu uliopita......Labda tumuongeze mmoja mwingine wa kuwasaidia Marchisio na Pirlo pale kati.....Llorente tulimsajili cku nyingi Mkuu, labla Tevez ingawa naye kaja kwa bei chee, tunahitaji kuimarisha midfield hasa wa kuilisha forward line yetu
Labda tuongeze kiungo mmoja tu....Lakini tulionao ni wazuri tu mkuu......Marchisio, Pirlo, Asamoah, Pogba na Vidal ni wazuri na walijitahidi sana msimu uliopita......Labda tumuongeze mmoja mwingine wa kuwasaidia Marchisio na Pirlo pale kati.....
Hili linaweza kuwa mafanikio au hasara kwa soka la Italia?
...manake Juve ikiwa na Messi huku Napoli wana vitoto unategemea nini hapo?!
Labda tuongeze kiungo mmoja tu....Lakini tulionao ni wazuri tu mkuu......Marchisio, Pirlo, Asamoah, Pogba na Vidal ni wazuri na walijitahidi sana msimu uliopita......Labda tumuongeze mmoja mwingine wa kuwasaidia Marchisio na Pirlo pale kati.....
Watu tuna mshiko wetu tumetulia tulii na akina Vidal wetu.wanachonifurahisha Juve huwa si wepesi kuachia wachezaji wao.watakuuzia wanapotaka wao!Cavani angekuwa Turin asingeguswa na mtu!hii inasaidia sana kujenga team chemistry nzuri,kitu kinachowagharimu Madrid,PSG na ngoja tuione Napoli!