Just simple

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
Rais wa Marekani, Mheshimiwa Barack Obama akikatiza katika maungio ya barabara ya 17 na Pennsylvania Avenue jijini Washington, D.C., baada ya kutoka kwenye mgahawa wa mtaa wa jirani kununua 'sandwich' tarehe 4 Oktoba 2013.
 
Huyu mtu kwao ni wakawaida tu ila akija kwetu tunafunga barabara, tunazisafisha na sabuni, ndege haziruki....
 
Huyu mtu kwao ni wakawaida tu ila akija kwetu tunafunga barabara, tunazisafisha na sabuni, ndege haziruki....
...ni uwongo wa mchana kweupeeee..! wazungu wenyewe wanatia akili na wanatamani hata kumshika mkono mbongo aliye pata fursa ya kuingia white house,sembuse mtu anayeishi humo...?unacheza wewe... nenda zanzibar akusimulie yule dogo aliyeitwa kwenye mkutano wa young leaders kama sikosei akwambie wazungu wanavyobabaika...
 

Sijakuelewa
 
The need for a social life is what disturbs these great leaders since most of the time their lives are surrounded with heavy security. Whenever they get such chance they maximise it greatly
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…