T TheDealer JF-Expert Member Joined Nov 19, 2012 Posts 2,424 Reaction score 1,133 Nov 5, 2013 #1 Wadau wa JF! Leo nimejiuliza hv neno langu la kwanza kulitamka nikiwa mtoto mchanga/mdogo lilikuwa ni neno gani? Naombeni na nyie mjiulize, na wale wazazi naombeni mtuambie kama mnakumbuka neno la kwanza watoto walianza kuongea! Just curious!
Wadau wa JF! Leo nimejiuliza hv neno langu la kwanza kulitamka nikiwa mtoto mchanga/mdogo lilikuwa ni neno gani? Naombeni na nyie mjiulize, na wale wazazi naombeni mtuambie kama mnakumbuka neno la kwanza watoto walianza kuongea! Just curious!
Daud omar JF-Expert Member Joined Apr 4, 2011 Posts 2,460 Reaction score 987 Nov 5, 2013 #2 Nafkiri wengi tulianza na mama, ila sasa baada ya hapo unataka ugundue nin Mkuu??
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,802 Reaction score 49,109 Nov 5, 2013 #3 mama!!!
life is Short JF-Expert Member Joined Apr 1, 2013 Posts 4,741 Reaction score 3,037 Nov 5, 2013 #4 Tulianzaga na mbuuu!! MAZIWA !! kabla ya mama!!
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,359 Reaction score 111,651 Nov 5, 2013 #5 Madame B said: Huyo ndo Shem langu bhanaaaa... Click to expand... Ha ha ha!!! Shem natamani sana kujua wewe ulianza kutamka neno gani atii...
Madame B said: Huyo ndo Shem langu bhanaaaa... Click to expand... Ha ha ha!!! Shem natamani sana kujua wewe ulianza kutamka neno gani atii...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,359 Reaction score 111,651 Nov 5, 2013 #6 Toria said: Kama ndio hivi wasiwasi wangu ni kwa hawa wajawazito wanaoshinda humu watakaozaliwa neno lao la kwanza lazima liwe 'kugegeda' maana kila sredi limoo Click to expand... Hehehe!!! Au "acha kutoka povu"...
Toria said: Kama ndio hivi wasiwasi wangu ni kwa hawa wajawazito wanaoshinda humu watakaozaliwa neno lao la kwanza lazima liwe 'kugegeda' maana kila sredi limoo Click to expand... Hehehe!!! Au "acha kutoka povu"...
Mapi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 6,848 Reaction score 2,742 Nov 5, 2013 #7 watu8 kasema yote. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016