Jussa kawaponza wapemba Dar

kwani kuna ubaya gani muungano ukifa zikabaki kama nchi rafiki tatizo lipo wap
 
Hembu mods futa uzi wa kibaguzi huu, USA ukiongelea ubaguzi wa kujitenga kwa kajimbo kamoja ww ni muhaini sisi mbona tunaacha vichaa wanavomit wapendavyo?

Muungano ni Nguvu utengano ni Dhaifu. Sikuzote tuzungumzie namna ya kuuboresha Muungano na sio namna ya kujitenga. Wamenufaika nn waliojitenga na Russia ama USSR yenyewe imefika wapi baada ya utengano?

Wazanzibar ni ndugu zetu lazima tujifunze kuendelea kuishipamoja. Wazee wetu waliwezaje na sie tunashindwaje, mbona hiki kizazi kinataka kuleta laana ya utengano?

Lets talk abt African Unit not separation of URT.

Viva Tanzania.
 
Wazenj maneno mengi yatawa-cost wanawafuata wale Wanasiasa?!

Tatizo la Ndugu zetu wa Zenji ni mental slavery,ni kama hawajitambui,kwahiyo utambulisho wao ni Uislam,mbaya zaidi unawajengea chuki na watu wengine.Sijui Waarabu wamewapa nini! Sababu maarabu hayapendi ngozi nyeusi hakika. Muafrika ni Muafrika tu,kwanini tunavurugwa? na kwanini sasa?
 
I am waiting to see the death of the so called muungano, wazanzibar wamezidi ulalamishi
 

Kuna watu nyuma ya pazia hatuwaoni. tutapigana na adui asiyeonekama matokeo yake tutauana wenyewe. darsa zingine ni kuwa makini nazo,ni sumu ' uhai wenu uko kwenye kisasi' likiwakaa kichwani unazani watarudi nyuma,wasiione pepo? kweli tatizo ni shule?
 
Jamani vipi? Si kuna URAIA wa NCHI MBILI ? Au hamtaki tena?

By the way yeyote atakaye kuwa akihishi au kuzaliwa Tanganyika by the day ya Kuzaliwa/Independence mpya ya Tanganyika atakuwa Raia wa Tanganyika.

Kwa katiba ipi?


Mimi nilifikiri hao ni raia a serikali ya Mapinduzi Z'bar ambayo katiiba ya mwaka 2010 inavunja muungano moja kwa moja. Hivyo hiyo kitu haipo kabisa. Subiri Mchakato wa katioba ya bara ndo utajua muziki wake
 

Mkuu,kisa mfumo kristo?
 
Safi sana Dawa imekuingia....
Pumbavu mmoja.......inaonyesha mchana huu teyari mbege zishakulevya ....kazi mnatujazia nguruwe mjini...
Bata mzinga
hahahhaaa Mpwa twawajazia nguruwe mjini kwasababu mwazila na mwazipenda, isingekua hivyo zisingejaa ati, prove me wrong.
 
hahahhaaa Mpwa twawajazia nguruwe mjini kwasababu mwazila na mwazipenda, isingekua hivyo zisingejaa ati, prove me wrong.

Wewe ushapoteza Network..ngoja timua timua zianze...tutawapandisha hao nguruwe wawe ndio usafiri wenu kurejea kwenye mapango yenu...
 
Wewe ushapoteza Network..ngoja timua timua zianze...tutawapandisha hao nguruwe wawe ndio usafiri wenu kurejea kwenye mapango yenu...

duh haya Mpwa usiku mwema bhana, ngoja nirudi huko pangoni kwangu nikapumzike nyie wenye nyumba laleni kwa amani
 
Lazima wale mdudu Tu kudadekiiii

duh haya Mpwa usiku mwema bhana, ngoja nirudi huko pangoni kwangu nikapumzike nyie wenye nyumba laleni kwa amani

Kumbe muoga hivi ?
Yani ushujaa wako unaounyesha nyuma ya keyboard....
Nenda kesho pale kariakoo ukawalishe wapemba Mdudu...
Uonyesha njia wengine tutafata.....
Mimi ntakusibiri pale round about kwenye boat kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa 5 usipotokea ntakuona wa ajabu sana.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…