Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,365
- 100,406
Kudadeki zako.....
Nlichokiona Hapa si utanganyika na Uzanzibar ...bali ni CHADEMA (Wakristo) wakionyesha
chuki za wazi dhidi ya Wapemba (waislamu )
Halafu chadema na wachaga mnafikiri kila muislamu ni Mpemba !
Sasa nyinyi waguseni hata nywele...ndio mtajua mziki wake....
Mkimaliza tu kuwalisha Dudu wapemba na sisi wenye pwani yetu tunaanza Kuwalisha Dudu wachaga na CDM wote kwa kasi ya ajabu...
Tunaanza na wewe elli katibu wa tarafa wa chadema...
TANGANYIKA na ZANZIBAR kwanza Mbege baadaye
aaaah hio ni wewe wetu, kwani weye wajua mie dini yangu bhana au bangi za mchana tu hizo, nendeni bhana mtakuja kusalimia tu bara
Hiyo ni ndoto ya mchana. Kama wachina wanauza hadi mkaa na wengine ni madobi hawajafukuzwa sembuse wapemba?
Hakika CUF ni kama 'mke' mkorofi wa CCM. . Dr Shein ni mtu muungwana sana. We need a tougher guy to rescue muungano lest the nation split apart. Wapemba wa kariakoo watapata shida sana sababu ya uhuni wa Jussa na Seif, zee liso haya... Kwa kuwa tumeishi vizuri na kwa salama wazenjibara waliowekeza au kubangaiza kashata na gahawa bongo, waanze kujiandikisha uraia wa Tanganyika na 'wazanzibara warudi nyumbani ardhi tele. Kwa heri Dr Bilal, Suluhu, Mahadhi, Mwinyi, Nahodha hakuna vyeo vya bure nendeni kugombea usheha unguja au pemba! Maneno na nahau nyiingi kazi hakuna!
Eti !! Wachina wanauza Mkaa nchi hii ?
Tunaongelea Tanganyika na Zanzibar wewe unawaza kuhusu Dini yako!
Kwani Wapemba hapa Tanganyika ni kwao?
Mtanganyika anaishi sehemu yoyote ndani ya Tanganyika hii,lakini haitakuwa hivyo kwa Wala urojo!
Kiherehere kimewaponza sasa mnahangaika
Wazanzibar washajitambua wanadai chao Hakuna kisiwa chochote duniani masikini shein akija bara kushiriki baraza la mawaziri yeye na tibaijuka wapo sawa si uonevu huo wapeni nchi Yao Laiti wazaramo wandengereko watu wa pwani tungejazana serikalini Kama mlivyojazana nyie watu wa bara tushawapa nchi Yao lakini nyie Mna roho mbaya mnajua siku wakiwa huru watapiga hatua za kimaendeleo wabara nao wataamka
Mzee Kawawa, Kombo na Karume hawakuwa na vyeti ya chuo kikuu lakini walikuwa na akili, karama na busara x700 zaidi ya Seif, Jussa na Lipuumba! Elimu na vyeti si hoja ndugu zangu...enyi Wapemba wauza simu na nguo pale kariakoo mpuuzeni Jussa. Akiwambia habari za muungano wa mkataba mzomeeni! Hakuna Zbz bila muungano. Mtabaguliwa Unguja!!
kuna mchina mmoja kapanga jirani na ninapoishi, anauza karanga za mayai!
Naona unajidanganya mimi siwezi kwenda kununua ardhi Rombo au Kibosho kuna ubaguzi sana, hakuna cha Tanganyika tukimaliza na Wapemba Dar tunakuja na makabila mengine Wachagga, Wakinga, ha haa haaa.
Hakika CUF ni kama 'mke' mkorofi wa CCM. . Dr Shein ni mtu muungwana sana. We need a tougher guy to rescue muungano lest the nation split apart. Wapemba wa kariakoo watapata shida sana sababu ya uhuni wa Jussa na Seif, zee liso haya... Kwa kuwa tumeishi vizuri na kwa salama wazenjibara waliowekeza au kubangaiza kashata na gahawa bongo, waanze kujiandikisha uraia wa Tanganyika na 'wazanzibara warudi nyumbani ardhi tele. Kwa heri Dr Bilal, Suluhu, Mahadhi, Mwinyi, Nahodha hakuna vyeo vya bure nendeni kugombea usheha unguja au pemba! Maneno na nahau nyiingi kazi hakuna!
Jamani vipi? Si kuna URAIA wa NCHI MBILI ? Au hamtaki tena?
By the way yeyote atakaye kuwa akihishi au kuzaliwa Tanganyika by the day ya Kuzaliwa/Independence mpya ya Tanganyika atakuwa Raia wa Tanganyika.
Bila ya zanzibar hakuna tanganyika ila kuna wakurya wanyachusa wahehe chagas sukuma makondes dengereko wasambaa digos ngoni wanyamwezi na kubwa lao kuna wakristo na waislam
Bora tujajibane kwetu maana hapa ni kuliko somalia
Fikiria kwa ubongo, hiyo notice ulishawapa wachina?
Wazanzibar hata kama muungano ukivunjia leo, nyumba watawapa watoto wao ambao kiheria ni watanganyika.
Kwa hiyo wazee watarudi Zenji au wataomba permit kama wageni wengine na nyumba zao zitakuwa za watoto wao.
Kama ulikuwa unangojea dezo, yaguju.
ZNZ kwanza upuuzi baadae.
nani kakuambia kisheria mtoto wa mpemba ni mbara unavyoengea utadhani uko marekani vile, hawo watoto wana documents za uraia wa tanganyika!!!!