Junk foods kills our libido power & general health

Junk foods kills our libido power & general health

Kwanza DM Ni Nini?... Alafu hiyo picha ndo unatuonesha healthy eating. Maana naona biskuti hapo na Malta?
Diabetes melitus(DM)..hapana zote hizo ni procesed foods ukiachiliaa maziwaa , sinaa maaana junks zisitimiwee ila zitumiwe kw kiwango kidogo isiwe sehemu ya maisha
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] natumiaga kila weekend hizo mambo kuacha ni mzozo
My baby Jana aliniambia hivi , BSE Tulikuwa Tunazungumza kuhusu mstakabali wa afya Yangu ,Kuwa nikipona lazima Nianze nae mazoezi Na junk Foods sizitaki Kutaja Kiepe Tuu Akachange akasema kamwe haachi.
[emoji23].
 
Back
Top Bottom