Junk foods kills our libido power & general health

tonylast

Member
Jun 26, 2019
70
46
Habarin wakuuu!

Kama nilivyotangulia kusema mwanzo..kumekua na tabia kw baadhi ya wadada/ wakaka / wababa nk...kupendelea
Kutumiaa aina pendwa ya vyakula..kitaalam tunaita junk foods eg chips, soda , nk Kitu ambayo inapelekeaa wimbi kubwa la Magonjwa kama Dm , obesity , nk.

Issue nyingne tu kuna hii kitu tunaita libido power A.K.A sexual desire & stamina.

Nin tufanye tunatakiwa tubadil life style

Just simple life..mazoez mara 3 kw week

At least kula kw kiasi tena vyakula vy kawaid eg.wal + maharage.

IMAG2050.jpeg
 
Sawa...ila chips soda siachi.
My baby Jana aliniambia hivi , BSE Tulikuwa Tunazungumza kuhusu mstakabali wa afya Yangu ,Kuwa nikipona lazima Nianze nae mazoezi Na junk Foods sizitaki Kutaja Kiepe Tuu Akachange akasema kamwe haachi.
😂.
 
Back
Top Bottom