The Fixer
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 1,365
- 593
Wandugu, Habari za mapumziko ya mwisho wa wiki ? Naomba kujua Kama Gwajima amekamatwa ama laaa na tatizo laa ?
Sitaki kuamini kama ile Nguvu ya Polisi itaishia tu hivi hivi, Baadhi ya magazeti yaliandika kuwa amekimbia nchini lakini JAMBO LEO wameripoti kuwa amesema hajakimbia nchi yupo. Kwanini hajakamatwa ??
Angekuwa ni Shehe anatafutwa asingeonekana kweli ? Mbona Shehe Ponda wakimtafuta wanampata lakini Gwajima hawajui alipo na hawajampata mpaka leo ?
Hii nchi ina unafiki wa kiwango cha juu sana.