Jumong...

Hivi humu ndani kuna watu wanao tazama jumong?

Ni tamthilia nzuri mno ya kikorea, na inahusu siasa zaidi kuliko kingine. Natamani wana jf wote wawe wanatama jumong, ina fundisha vitu vingi sana, kama ujenzi wa taifa nk,

Haiji tokea tamthilia kama Jumong,
Sijapata kuona tamthilia yenye Uhalisia kama ile.
Wameipanga vizuri hadi unabaki mdomo wazi tu!
 

Tamthilia nzima hakuna mtu kama yule Waziri Mkuu.
Yule ni balaaa sana sijapata kuona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…