Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,532
- 8,279
Nawewe unasemaje juu ya hili mkuluNi Chadema tuuu ndo watapinga
Hakuna picha kama Jumong wewe picha bora ya wakati woteNawewe unasemaje juu ya hili mkulu
Nambie mwana lunyas, ni wapi penye kitu chenye stori ya kueleweka kama ama kuzidi jumong?Hamna kitu pale, wanaruka ruka tu na mashuka yao utafikiri wamasai.
Hakika mkuu, yaani kwangu hii ndo the bestHakuna picha kama Jumong wewe picha bora ya wakati wote
Inaitwaje hii mkuu?
Mafisango Chama unaicheckshia daemuliboulView attachment 2678398
Chekshia mambo huku chuma cha hang
Namuona Jumong na DaesoyaaaaInaitwaje hii mkuu?
Umeuwa kbsa mkuluView attachment 2678398
Chekshia mambo huku chuma cha hang
Asante msomi, sasa usomi wako na kutokusoma kwangu kumetukutanisha hapa jf, umejuaje kama ile siries ni mishale mapanga na mafarasi kama hupendi? jifungie ofsini boss msomiHv inawezekanaje mtu kukalisha tako kuangalia watu wanarushiana mishale , mikuki, mapanga na marungu ??? Tena wanakimbizana na mafarasi ...napata Shaka umri wenu na kiwango cha elimu ulicho nacho
Mshamba hawezi kuelewa.Hamna kitu pale, wanaruka ruka tu na mashuka yao utafikiri wamasai.