Jumla kuna njiti ngapi hapa?

Mkuu nimekubali, ila nitaelewa baadaye. Ninaendelea kuviangalia hivyo vijiti na impangilio yake, na kutafuta hizo images kwa nini zitokelezee za mbili tu na zingine hata zilipo karibu zisitoe taswira. Taratibu nitaelewa tu. Tuko pamoja kiongozi.


Uko sawa mkuu............. Tabby
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…