Jumla kuna njiti ngapi hapa?

Mkuu mimi naona ziko 10!. Kama nimepata nipe zawadi kabisa!
 
Ila mimi ninamashaka sana na hili jibu. Kwa nini hiki kijiti kinachokaribia kugusisha kichwa chake kwenye kioo, hakijawa reflected?


Dah,umechungulia paper yangu ya maswali nini mkuu umepata asee...!.
 
Ila mimi ninamashaka sana na hili jibu. Kwa nini hiki kijiti kinachokaribia kugusisha kichwa chake kwenye kioo, hakijawa reflected?

Tazama vizuri mkuu utaona...!.
 
Zipo tano kiongozi hizo tano nyingine ni reflection toka kwenye hiyo glass

Kama ni reflection toka kwenye hiyo glass ni gas lighter...............sasa kwa nini zionekana mpaka nje ya hiyo glass mkuu ?.
 
Kama ni reflection zote tano, angalia zingine zimekaliwa na kioo sehemu moja iko ndani nyingine iko nje.

Hakuna iliyokaliwa mkuu...!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…