Jumba linauzwa


Mtu gani hupendi ndugu zako?acha wajaage mami tutakulaga tunachopata..
 
Mimi ni property dealer. Hiyo bei bila samani za ndani na house girl. Simu zangu zinapatikana jaribu tena kupiga mojawapo.
 
Mimi home kwangu ni ex tended family of about 11 people. Kuna furaha kubwa sana mpaka majirani wanatuonea gere kwa vicheko vya usiku.. Wao pamoja ya kuwa ni wachache lakini moto unawaka. Angalia somalia vita kila kukicha, Rwanda n.k. China nchi kubwa lakini inatawalika. Inategemea wewe unatoka katika jamii gani.
 
hiyo nyumba ilikuwa inauzwa mil 240 naona sasa ameamua kushusha bei, nimeanza kuiona kwenye website mbalimbali zaidi ya mwaka, 170m bado ni pesa nyingi sana
 
hiyo nyumba ilikuwa inauzwa mil 240 naona sasa ameamua kushusha bei, nimeanza kuiona kwenye website mbalimbali zaidi ya mwaka, 170m bado ni pesa nyingi sana

kuwa na subira labda baada ya mwaka tena itakuwa 100m
240>170>100>30 lol
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…