watz bana mulianza jamaa freemason haikufua dafu,mukasema jamaa analoga haikusaidia kumwangusha mara jamaa anaiba kazi za watu bado yupo,na sasa munalazimisha kumwangusha kwa kumlinganisha na kibba na bado jamaa yupo imara nyinyi munaangaika kumchafua yeye anapiga kazi
Mtoto wa kushua kivipi mkuu namjua vzr jux ,ni kweli kipindi marehemu baba yake yupo pale mtaani baruti central alikuwa safii but mambo yakachange mshua wake alipovuta so akabaki na maza maisha ya kawa normol tu,pia nakumbuka wakati anaanza kuimba kule alipomalizia form 4 happyskilful na sijui kama alipata cheti coz kipindi kile matokeo yao yalifungiwa na akaamua kujiingiza kwa mziki,but alipoanza kwenda China tukaanza kuona mabadiliko pale kwao maisha yakaanza kuwa mazuri inaonekana mziki wa kibongo China unalipaaa.anyway yupo vizuri na vijana wenzie wa mtaa hanaga makuu.