Unashangaa nyumba kuuzwa Bilion 2 wewe?wewe tangia uzaliwe umewahi kuona hizo bilion 2 au unaandika tu. Unadhani pesa watu wanaokota eh
Mkuu punguza bei, mie nna buku
Acha masihara kwenye biashara za wenzakoMkuu punguza bei, mie nna buku
Nndrooooobo wewe hahaaa
Acha masihara kwenye biashara za wenzako
Pesa anayouza ni ndogo kulingana na nyumba na location iliko, sina uhakika kama ataweza kujenga nyingine kwenye hilo eneo kwa hiyo pesa
Pesa anayouza ni ndogo kulingana na nyumba na location iliko, sina uhakika kama ataweza kujenga nyingine kwenye hilo eneo kwa hiyo pesa
Hakika ni nyumba ya uhakika. Wenye hela zao watanunua..... Hongera kwa ujenzi.
Kwa sasa ni uchaguzi hauwezi pata mteja fasta subiri uchaguzi upite watu waanze kupiga hela ndio watanunua.