Matanga
JF-Expert Member
- Nov 13, 2019
- 2,281
- 3,973
1: Chelsea anahitaji pointi 1 kucheza UCL msimu ujao
2: United anahitaji pointi 1 kucheza UCL msimu ujao
3:Leicester anahitaji pointi 3 kucheza UCL ( lakini atahitaji pointi 1 endapo chelsea akifungwa na Wolves )
4: Wolves anahitaji pointi 3 ili kujihakikishia kucheza Europa Ligi
5: Spurs anahitaji pointi 3 wakati akiombea Wolves apigwe na Chelsea ili acheze Europa
6: Ederson na Pope wanahitaji clean sheet ili kutwaa glovu ya dhahabu
7: Ings na Vardy mtafutano wa kiatu cha dhahabu
8: West Ham wapo salama watacheza dhidi ya Aston Villa wanaohitaji matokeo chanya kubaki EPL na Watford watahitaji kuifunga Gunners na kuomba Villa afungwe
Na Jumapili ifike tu , tuone raha ya EPL 2019/2020