Jumamosi njema

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,331
Reaction score
38,691
Husika na kichwa cha habari hapo juu wewee msomaji unaemwelewa na usiemwelewa pdidy


Nakutakia jumamosi NJEMA

Luv u mwaaaaaaaaaa
Cc:wapwa wote waliokubali kuingia kanisani nakwenda Kuishi maisha ya uvumilivu kwenye ndoa zao siku ya leo

Nao nawatakia jumamosi NJEMA


Wale mliotunyima Kadi za harusi kisa tumechanga alfu thelathini badala ya hamsini

nanyi pia tunawashukuru na kuwapa jumamosi NJEMA mzidi kutuombea tufanikiwe tuje Toa alfu hamsini kwenye ndoa za watoto wenu
 
Ahsante mkuu Pdidy

Vipi kwa sisi mabachela?
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaa nanyi nawapa jumamosi NJEMA mkuu mzidikupeleka waungwana wenu
UNUNIO BEACH

Na kila atakenyanyua mshedeeedee wake juu Yao kwenye maji ukasinyae mpaka akitoka ardhin

MUNGU awalinde pia

wapi hiyo mpwa niko sinza napata supu mapambano karibu

Cc HOE
CC:MATOLA
Kama wametunyima kadi hata supu tusijinyweee loh
 
mpwa jumamosi njema na kwako, mimi napata supu ya pweza hapa ilala na juice ya fenesi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…