Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,959
Hakuna shida kama ni miradi ya uhakikaNi matriloon ya hela hio mirad.na in 20 yrs labda
Mbona tunajengwa bwana la umeme kwa trilion takriban 7 huku maji yenyewe kizungumkuti?Kilimanjaro na Arusha nilisikia Kuna maji ya milimani huu ukanda wa kaskazini Kuna water fall za kijanja maji ya baridi ukianzia lushoto ukija milima ya upareni ..
Ishu ya desalination ni pesa ndefu mno kwa kweli labda tujitoe kama nchi nyingine itakuwa ngumu sana ila lazima tupitie gharama nyingi mno sio kitoto...
Mpaka sasa sikufichi bado hayuko katika kukabiliana na matatizo permanently zaidi leo tuko hapa hatujamaliza tuko kule ni mtihani sana kwa nchi yetu ishu izo zilitakiwa tangu kitambo tushamalizana nazo.
Mkuu ishu ni ivyo kwamba bwawa halijaisha tunaangukia kwingine ...ukweli ni kwamba sio utendaji ishu ni je pesa za kufadhili baadae utakuja Uzi humu awamu hii imekopa sana ...Tuangalie na mapato yetu halafu swala naona limekuja kama emergency ilihali ni tatizo la mda mrefu ila awamu hii inapata lawama sana ...je kama ni tril 4 tu tutaweza bila ya mkopo bado tuna bandari huko bagamoyo.Mbona tunajengwa bwana la umeme kwa trilion takriban 7 huku maji yenyewe kizungumkuti?
Siamini kama gharama za kutoa maji ziwa Victoria kwa ajili ya mikoa ya Tabora , Singida, Dodoma, Simiyu na Mwanza ni kubwa zaidi ya kujenga bwana la nyerereMkuu ishu ni ivyo kwamba bwawa halijaisha tunaangukia kwingine ...ukweli ni kwamba sio utendaji ishu ni je pesa za kufadhili baadae utakuja Uzi humu awamu hii imekopa sana ...Tuangalie na mapato yetu halafu swala naona limekuja kama emergency ilihali ni tatizo la mda mrefu ila awamu hii inapata lawama sana ...je kama ni tril 4 tu tutaweza bila ya mkopo bado tuna bandari huko bagamoyo.
Level ya Uwaziri inamtaka waziri husika kabla ya kuamua chochote anatakiwa kuchukua maoni ya wadau kabla ya kuamua chochote au kupitia ripoti za tafiti zilizofanyika before.Nimesikia una mpango wa kujenga mabwawa kwa ajili ya kuhifadhi maji ya mvua ili kukabiliana na upungufu wa maji
Ushauri wangu kwako, Achana na hiyo mipango ya kizamani na ya kimaskini ambayo haiendani na wakati uliopo. Kwa mabadiliko haya ya hali ya hewa, napenda kukuhakikishia kuwa huo mradi sio endelevu na utalitia hasara taifa
Nimepita mikoa ambayo kuna mabwawa yalichimbwa kwa ajili ya wafugaji kama Singida, Tabora, Arusha na Dodoma, kusema kweli kwa ukali wa jua mabwawa mengi hata hayo maji hayana yamekauka
Ushauri wangu kwako
1. Kwa mikoa ya Tanga, Pwani, Dsm , Lindi na Mtwara waambie watendaji wako waandike proposal za miradi ya Desalination. Yaani kuchujwa kwa maji chumvi ya bahari kwa ajili ya kunywa. Viwanda hivi Vicente kwenye hii mikoa ili watumie maji ya bahari ya hindi
2. Kwa Mikoa ya Rukwa, Katavi, Kigoma Songwe na Tabora hawa watumie maji ya Ziwa Tanganyika. Miradi ijengwe kutoa maji ziwa hili kusambaza kwenye mikoa hiyo
3. Kwa Mikoa ya Mwanza, Mara, Kagera, Geita, Shinyanga, Simiyu, Dodoma na Singida hawa mradi wa maji ziwa Victoria ndo usambazwe kwenye mikoa hii yote.
4. Kwa mikoa ya Mbeya, Njombe, Ruvuma na Iringa, ingawa hii mikoa ina mvua za kuridhisha hasa Mbeya, Ruvuma na Njombe ila ushauri ni kwamba ziwa Nyasa liwe backup na kuwe na miradi ya kuipa maji ya kunywa mikoa hii kutoka ziwa nyasa
5. Kilimanjaro na Arusha. Mikoa hii iunganishwe na mradi wa maji yatokanayo na bahari yatakayokuwa yanatumika katika Mkoa wa Tanga
6. Morogoro
Maji ya mito ya Morogoro na Pwani ndo yatumike kwa ajili ya mkoa wa Morogoro
Hili litaokoa gharama ambazo mnataka kuziweka kwenye miradi ambayo haitakuwa na uhakika wa kuwepo kwa muda mrefu.
Ishu ya kufanya maji ya bahari kuwa salama kwa matumizi ni gharama uko kwingine fresh.Siamini kama gharama za kutoa maji ziwa Victoria kwa ajili ya mikoa ya Tabora , Singida, Dodoma, Simiyu na Mwanza ni kubwa zaidi ya kujenga bwana la nyerere
Siamini pia kama gharama za kutoa maji ziwa Tanganyika kwa mikoa ya Songwe, Rukwa, Katavi na Kigoma ni kubwa zaidi ya kujengwa bwana la Mwalimu Nyerere
Bro, ukiziweza gharama za desalination ya sea water hushindwi kufanya sensa kila mwakaNimesikia una mpango wa kujenga mabwawa kwa ajili ya kuhifadhi maji ya mvua ili kukabiliana na upungufu wa maji
Ushauri wangu kwako, Achana na hiyo mipango ya kizamani na ya kimaskini ambayo haiendani na wakati uliopo. Kwa mabadiliko haya ya hali ya hewa, napenda kukuhakikishia kuwa huo mradi sio endelevu na utalitia hasara taifa
Nimepita mikoa ambayo kuna mabwawa yalichimbwa kwa ajili ya wafugaji kama Singida, Tabora, Arusha na Dodoma, kusema kweli kwa ukali wa jua mabwawa mengi hata hayo maji hayana yamekauka
Ushauri wangu kwako
1. Kwa mikoa ya Tanga, Pwani, Dsm , Lindi na Mtwara waambie watendaji wako waandike proposal za miradi ya Desalination. Yaani kuchujwa kwa maji chumvi ya bahari kwa ajili ya kunywa. Viwanda hivi Vicente kwenye hii mikoa ili watumie maji ya bahari ya hindi
2. Kwa Mikoa ya Rukwa, Katavi, Kigoma Songwe na Tabora hawa watumie maji ya Ziwa Tanganyika. Miradi ijengwe kutoa maji ziwa hili kusambaza kwenye mikoa hiyo
3. Kwa Mikoa ya Mwanza, Mara, Kagera, Geita, Shinyanga, Simiyu, Dodoma na Singida hawa mradi wa maji ziwa Victoria ndo usambazwe kwenye mikoa hii yote.
4. Kwa mikoa ya Mbeya, Njombe, Ruvuma na Iringa, ingawa hii mikoa ina mvua za kuridhisha hasa Mbeya, Ruvuma na Njombe ila ushauri ni kwamba ziwa Nyasa liwe backup na kuwe na miradi ya kuipa maji ya kunywa mikoa hii kutoka ziwa nyasa
5. Kilimanjaro na Arusha. Mikoa hii iunganishwe na mradi wa maji yatokanayo na bahari yatakayokuwa yanatumika katika Mkoa wa Tanga
6. Morogoro
Maji ya mito ya Morogoro na Pwani ndo yatumike kwa ajili ya mkoa wa Morogoro
Hili litaokoa gharama ambazo mnataka kuziweka kwenye miradi ambayo haitakuwa na uhakika wa kuwepo kwa muda mrefu.
Hayo maji yatatoka kwenye vyanzo vipi kuingia kwenyw hiyo gridi?Kuna wazo alilitoa spika ya kutengenezwa kitu kama grid ya taifa ya maji mi nililielewa hili wazo, wataalam wangelifanyia maandiko likawekwa kwenye utendaji huenda likasaidia
Ushauri gani wewe popoma?? Nani anaweza kusikiliza ushauri kutoka kwa mpumbavu?
Kwa nn Watanzania hivi sasa tumejenga tabia mbaya ya kutukanana badala ya kujibu au kupinga kwa hoja?Ushauri gani wewe popoma?? Nani anaweza kusikiliza ushauri kutoka kwa mpumbavu?
Wewe unaona Kuna hoja hapo? Huyo jamaa ni mtu mpumbavu aliyepitilizaKwa nn Watanzania hivi sasa tumejenga tabia mbaya ya kutukanana badala ya kujibu au kupinga kwa hoja?
Hakuna mtu mwenye akili timamu atakaa kusikiliza, kunywa maji alafu nenda kamuombe pesa shemeji.Mada kama hizi najua ni kubwa sana kwako
We endelea kuomboleza hapo chato. Akili kubwa hizi sio saizi yako. Subiri mada zenu za kuwasema kina January, Nape, Mwigulu na Bashe wewe gang wenzako huku maji marefu sana kwenuHakuna mtu mwenye akili timamu atakaa kusikiliza, kunywa maji alafu nenda kamuombe pesa shemeji.
Ulivyovipendekeza kwenye uzi wakoHayo maji yatatoka kwenye vyanzo vipi kuingia kwenyw hiyo gridi?