Juma Nkamia upo!???

omujubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
4,444
Reaction score
2,703
ADHA : MAJI
Mtoto Mariamu Mohamed wa Kijiji cha Mauno, wilayani Kondoa akichota maji katika korongo kufuatia uhaba wa maji katika eneo hilo. Picha na Shakila Nyerere

courtesy of Mwananchi
 
Ndio maana anataka JF ifutwe ... Angekuwa na uwezo angelifuta gazeti la mwananchi pia... Huyu sijui ni mwandishi wa aina gani..
wajuzi wanasema fani ya habari iliingiliwa kipindi japo wengine wanadhani ni jana!

 
Hata mbuzi na ng'ombe wangu kule shamba wanapata maji safi kutoka chanzo safi kuliko hapa, Nkamia mwogope Mungu.
 
Ndio maana anataka JF ifutwe ... Angekuwa na uwezo angelifuta gazeti la mwananchi pia... Huyu sijui ni mwandishi wa aina gani..
.

Nakumbuka secondary enzi zetu kulikuwa na msemo: KUZIBUKA, yaani mtu Kazibuka. Mfano Form I akiingia Form II WANAZIBUKAAAA. Au tunaweza kulinganisha na LA PROFERSERI YA ZE COMEDY ORIGINAL!:A S-fire1:
 
Huyu Juma Nkamia ameenda bungeni kutukana na sio kusaidia wapiga kura.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
mwandishi wa habari NO... alivamia..anatumia masaburi kufikiri huyo
 
Hayo maji hapo kwenye hilo Korongo wanakunywa ng'ombe, Mbuzi, Mbwa, Fisi na Binadamu anakuja kuchota pia.

Nkamia anadai hawezi kuongea na Mbwa(Sauti ya Umma) bali anaongea na mwenye mbwa(Mtawala)
 
so sad
Hayo maji hapo kwenye hilo Korongo wanakunywa ng'ombe, Mbuzi, Mbwa, Fisi na Binadamu anakuja kuchota pia.
Nkamia anadai hawezi kuongea na Mbwa(Sauti ya Umma) bali anaongea na mwenye mbwa(Mtawala)
 
alafu kuna mtu kakumbushia ile habari ya kutoka Kondoa kuja kuomba chakula DSM alafu anawaita watu mbwa badala ya kubadilishana mawazo ili wamalize matatizo kama haya!
Huyu Juma Nkamia ameenda bungeni kutukana na sio kusaidia wapiga kura.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
unaona eh!
.

Nakumbuka secondary enzi zetu kulikuwa na msemo: KUZIBUKA, yaani mtu Kazibuka. Mfano Form I akiingia Form II WANAZIBUKAAAA. Au tunaweza kulinganisha na LA PROFERSERI YA ZE COMEDY ORIGINAL!:A S-fire1:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…