zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,217
Huu ni ushauri kwa Msanii mkongwe wa miondoko ya kuchana chana kama wanavyoda watoto wa mjini.
Umekaa kimya muda mrefu sana nakupa wazo rudi tena studio na uzirudishe nyimbo zako za zamani ambazo wakati unaziimba zilikua kama utabiri sasa mambo mengi yametimia.
Na uanze na song lako la kigheto gheto,kwenye chorus Mshirikishe the king of melodist christian alafu wimbo ukitoka tuachie mashabiki.
Nimekusaka sana nikupe ujumbe huu,ila kama upo tayari tuonane,njoo king parisi keko ntapita kunywa ghahawa.
Kesho saa mbili usiku ukitokea tu natkuona.