Juma Nature: Rudia nyimbo zako za zamani...

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,875
1,216
Huu ni ushauri kwa Msanii mkongwe wa miondoko ya kuchana chana kama wanavyoda watoto wa mjini.

Umekaa kimya muda mrefu sana nakupa wazo rudi tena studio na uzirudishe nyimbo zako za zamani ambazo wakati unaziimba zilikua kama utabiri sasa mambo mengi yametimia.

Na uanze na song lako la kigheto gheto,kwenye chorus Mshirikishe the king of melodist christian alafu wimbo ukitoka tuachie mashabiki.

Nimekusaka sana nikupe ujumbe huu,ila kama upo tayari tuonane,njoo king parisi keko ntapita kunywa ghahawa.

Kesho saa mbili usiku ukitokea tu natkuona.
 
"Mtoto Iddi" ndio Panya road wa leo
"Muungano wa CCM na CUF" unafaa zaid kusikilizwa leo kuliko wakati ule mwaka 2000
Mzee wa Busara n.k haziishi maana kwa msikilizaji wa ujumbe wa music
 
"Salio la verse kwenye kichwa changu ni dola 5bil na zitaishia pale Nature ntakapofia,
watu weweee hana dola huyo,lioneee"


Nature hapo akiwa kwenye ubora wake,utamtaka
 
"Salio la verse kwenye kichwa changu ni dola 5bil na zitaishia pale Nature ntakapofia,
watu weweee hana dola huyo,lioneee"


Nature hapo akiwa kwenye ubora wake,utamtaka
Siku hizi Ili ufankiwe ki music lazima ulambe lambe midomo ukiimba na kujichubua uso na kutoboa pua na Masikio na Wengine naskia wanafinywa Chini ya mgongo.
 
Mda ukikukataa hata uimbe kama chiriku hutoboi, kwa wenzetu watu kama Nature wangekuwa wafanyabiashara wakubwa kwenye industry kama kina Pdiddy, Dre, Jiga, nk
 
Siku hizi Ili ufankiwe ki music lazima ulambe lambe midomo ukiimba na kujichubua uso na kutoboa pua na Masikio na Wengine naskia wanafinywa Chini ya mgongo.

Hali ni mbaya sana mkuu,hilo suala la kufinywa chini ya mgongo linanikera na kunipa kichefuchefu haswa.

Yaani ingekuwa ndo amri yangu,basi ningeshapelekwa The Haque sababu ya ushoga. Nafikiri ninge******ua kabisa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom