Kuna kitu kinaitwa UTASHI, kipaji kikikosa utashi bado ni tatizo, Utashi ukikosekana ndio matokeo ya kuona binadam anfanya mambo tofauti na matarajio, kushindwa kujua wapi ufanye nini , muda gani na kwa nini. Utashi ndio unatutofautisha sisi binadam na wanyama.