Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,692
- 140,379
Sizitaki mbichi hizi.View attachment 3033005
Juma kamaliza kila kitu, mjadala umefungwa
ni majibu tu yametolewa kwa ukali na mwalimu na hajanyooka ila huo ndiyo uhalisia wenyewe.View attachment 3033005
Juma kamaliza kila kitu, mjadala umefungwa
Amesemaje kwani?ni majibu tu yametolewa kwa ukali na mwalimu na hajanyooka ila huo ndiyo uhalisia wenyewe.
Chama hajazaliwa simba anaweza kucheza popote anapoona panamfaa, sasa waandishi wanataka ionekane kila mtu ameshangaa kuhama kwake.
Big up ankali.
Alafu huu utaratibu wa kuweka video bila maelezo ya kwenye Video inasema nini mmeanza lini? Mnatafuta viewers au? TOA maelezo amesema nini wengine hamjatununulia Bando hukuView attachment 3033005
Juma kamaliza kila kitu, mjadala umefungwa
Mtoa apost ataandika hayo maneno mkuu.Amesemaje kwani?
Wewe hujafungua Video kwangu haifunguki sema amesemajeMtoa apost ataandika hayo maneno mkuu.
Hujamjua muhasibu vizuri ni mkurupukaji siajabu hata yeye hajaiangalia hiyoo videoAlafu huu utaratibu wa kuweka video bila maelezo ya kwenye Video inasema nini mmeanza lini? Mnatafuta viewers au? TOA maelezo amesema nini wengine hamjatununulia Bando huku
Huu utaratibu wa FB waurudishe huko huko JF tunataka Video na maelezo sio unaweka Video maelezo hakuna Juma Mgunda anasemaje? We Mwasibu OKW BOBAN SUNZU Mgunda anasemaje kwenye Video humo TOA maelezo wengine hamjatununulia BandoHujamjua muhasibu vizuri ni mkurupukaji siajabu hata yeye hajaiangalia hiyoo video
Unaumwa weweHujamjua muhasibu vizuri ni mkurupukaji siajabu hata yeye hajaiangalia hiyoo video
Naunga mkono hoja. Siyo kila mtu pia humu jukwaani ana wasaa mzuri wa kuangalia clips za matukio. Isipokuwa kusoma ndiyo huwa rahisi kwao.Alafu huu utaratibu wa kuweka video bila maelezo ya kwenye Video inasema nini mmeanza lini? Mnatafuta viewers au? TOA maelezo amesema nini wengine hamjatununulia Bando huku
Anasemaje Mgunda? Lucas Mwashambwa kaninunulia bundle la buku nalilea hapaNaunga mkono hoja. Siyo kila mtu pia humu jukwaani ana wasaa mzuri wa kuangalia clips za matukio. Isipokuwa kusoma ndiyo huwa rahisi kwao.
Mjadala ufungwe sasaView attachment 3033005
Juma kamaliza kila kitu, mjadala umefungwa
Waandishi wataufungua. Leo watamtafuta Mgunda, kesho Try Again, siku nyingine Magori, nyingine Mo. Kwao kipindi kinaingiza hela maana wanakuwa wamepata contentMjadala ufungwe sasa
Kama Mgunda ameumia kiasi Cha ku panic uku uswahilini Hali ni mbaya Sana.Waandishi wataufungua. Leo watamtafuta Mgunda, kesho Try Again, siku nyingine Magori, nyingine Mo. Kwao kipindi kinaingiza hela maana wanakuwa wamepata content