Superbug JF-Expert Member Joined Jan 31, 2018 Posts 15,821 Reaction score 40,331 Dec 19, 2020 #1 Huyu mtu namsikia ila simjui je anafanya biashara gani? Na mwenye picha yake plz namsikia tu anaimbwa kwenye nyimbo za Tanzania je ni celebrity?
Huyu mtu namsikia ila simjui je anafanya biashara gani? Na mwenye picha yake plz namsikia tu anaimbwa kwenye nyimbo za Tanzania je ni celebrity?
Prince Kesh Jr JF-Expert Member Joined Jul 21, 2018 Posts 678 Reaction score 1,642 Dec 19, 2020 #2 Mkulungwa makusudi said: Huyu mtu namsikia ila simjui je anafanya biashara gani? Na mwenye picha yake plz namsikia tu anaimbwa kwenye nyimbo za Tanzania je ni celebrity? Click to expand... Chakula ya dabiliyusibii😀😀
Mkulungwa makusudi said: Huyu mtu namsikia ila simjui je anafanya biashara gani? Na mwenye picha yake plz namsikia tu anaimbwa kwenye nyimbo za Tanzania je ni celebrity? Click to expand... Chakula ya dabiliyusibii😀😀
Peramiho yetu JF-Expert Member Joined May 25, 2018 Posts 5,299 Reaction score 15,026 Dec 19, 2020 #3 Atakuwa muislam aliyehamia ulokole lakn kagoma kubadil jina la juma walau liwe JOHN #Ni hisia zangu tu mkui
Atakuwa muislam aliyehamia ulokole lakn kagoma kubadil jina la juma walau liwe JOHN #Ni hisia zangu tu mkui
Mbwa dume JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 6,289 Reaction score 10,964 Dec 19, 2020 #4 Ni "mbu-nge" wa viti maalum wa Zanzibar
SN.BARRY JF-Expert Member Joined Oct 12, 2012 Posts 4,036 Reaction score 8,942 Dec 19, 2020 #5 Tanzania MASHOGA ni maarufu kuliko sisi tuliopambana hadi nchi ikafikia uchumi wa kati.
Kizibo JF-Expert Member Joined Jul 3, 2018 Posts 4,544 Reaction score 10,276 Dec 19, 2020 #6 Juma lokole sexy
ki2c JF-Expert Member Joined Jan 17, 2016 Posts 8,682 Reaction score 16,249 Dec 19, 2020 #7 Google,utakutana na suggestions kama PEOPLE ALSO SEARCH Mwijaku,James delicious
M mtu mwenye moyo safi Member Joined Nov 12, 2020 Posts 30 Reaction score 20 Dec 19, 2020 #8 Juma lokole mwari wetu
B Blac kid JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 6,682 Reaction score 7,504 Dec 19, 2020 #9 Nahisi atakuwa msanii mlokole
Mnyatiaji JF-Expert Member Joined Dec 13, 2018 Posts 3,765 Reaction score 4,869 Dec 19, 2020 #10 SN.BARRY said: Tanzania MASHOGA ni maarufu kuliko sisi tuliopambana hadi nchi ikafikia uchumi wa kati. Click to expand... Ndugu una uchungu kweli
SN.BARRY said: Tanzania MASHOGA ni maarufu kuliko sisi tuliopambana hadi nchi ikafikia uchumi wa kati. Click to expand... Ndugu una uchungu kweli
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Dec 19, 2020 #11 Kizibo said: Juma lokole sexy Click to expand... Kuna wimbo huwa nasikia wanataja hivo ...
Pabloz JF-Expert Member Joined Oct 24, 2020 Posts 1,818 Reaction score 9,334 Dec 19, 2020 #13 Weka picha tuone
MoseKing JF-Expert Member Joined Jul 5, 2017 Posts 4,913 Reaction score 9,012 Dec 19, 2020 #14 Mkulungwa makusudi said: Huyu mtu namsikia ila simjui je anafanya biashara gani? Na mwenye picha yake plz namsikia tu anaimbwa kwenye nyimbo za Tanzania je ni celebrity? Click to expand... Nyumba ndogo ya Mondi ingawa sasa hivi anataka kupinduliwa na Baba Levo
Mkulungwa makusudi said: Huyu mtu namsikia ila simjui je anafanya biashara gani? Na mwenye picha yake plz namsikia tu anaimbwa kwenye nyimbo za Tanzania je ni celebrity? Click to expand... Nyumba ndogo ya Mondi ingawa sasa hivi anataka kupinduliwa na Baba Levo
N ngaiwoye JF-Expert Member Joined Aug 26, 2014 Posts 2,439 Reaction score 3,774 Dec 19, 2020 #15 SN.BARRY said: Tanzania MASHOGA ni maarufu kuliko sisi tuliopambana hadi nchi ikafikia uchumi wa kati. Click to expand... mkuu umepinda
SN.BARRY said: Tanzania MASHOGA ni maarufu kuliko sisi tuliopambana hadi nchi ikafikia uchumi wa kati. Click to expand... mkuu umepinda
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 24,706 Reaction score 44,066 Dec 19, 2020 #16 MoseKing said: Nyumba ndogo ya Mondi ingawa sasa hivi anataka kupinduliwa na Baba Levo Click to expand... Aiseee kwa hiyo Baba Levo hana marinda?
MoseKing said: Nyumba ndogo ya Mondi ingawa sasa hivi anataka kupinduliwa na Baba Levo Click to expand... Aiseee kwa hiyo Baba Levo hana marinda?
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,411 Dec 19, 2020 #17 Mkulungwa makusudi said: Huyu mtu namsikia ila simjui je anafanya biashara gani? Na mwenye picha yake plz namsikia tu anaimbwa kwenye nyimbo za Tanzania je ni celebrity? Click to expand... Kuna page inaitwa udaku special Nahisi ukiwauliza hao wanamjua vizuri maana hata mimi namjua juu juu tu
Mkulungwa makusudi said: Huyu mtu namsikia ila simjui je anafanya biashara gani? Na mwenye picha yake plz namsikia tu anaimbwa kwenye nyimbo za Tanzania je ni celebrity? Click to expand... Kuna page inaitwa udaku special Nahisi ukiwauliza hao wanamjua vizuri maana hata mimi namjua juu juu tu
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,243 Dec 19, 2020 #18 ni mwenza wa Kigoma Independent
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,575 Reaction score 185,113 Dec 19, 2020 #19 Ngoja waje kukupa muongozo... Cc: mahondaw
Kashaulo JF-Expert Member Joined Jun 14, 2019 Posts 2,940 Reaction score 4,958 Dec 19, 2020 #20 Daudi Mchambuzi said: ni mwenza wa Kigoma Independent Click to expand... Nilitaka kuandika hivyo, ila sikuweka hiyo 'mwenza wa'....!
Daudi Mchambuzi said: ni mwenza wa Kigoma Independent Click to expand... Nilitaka kuandika hivyo, ila sikuweka hiyo 'mwenza wa'....!