Juma Duni Haji ajiengua Rasmi CHADEMA

Naona dalili za Lowasa kurudi CCM zinaanza, babu Duni alifwanywa kuwa tarishi wa kupeleka bahasha za kupinga matokeo kwa mwenyekiti wa NEC
Kwikwikwikwikwiiiiiiii! Baada ya hapo akapotea kabisa
 
Uuuuwiiiiii! Nadhani angechukua mikoba ya Issa Matona
tutaimiss ile misemo yake ya taarabu,lakini angeongea hata na aisha mashauzi au mzee yusuph amewe nafasi kwenye jukwaa,tusikubali kipaji kupotea hichi.
 
Waliomwita profesa j. maghembe wazir mzigo sasa wataisoma namba hakuna biashara ya pembe tena
 
Ni kweli Wiki mbili kabla ya kampeni kuisha aligoma kufanya kampen na alikuwa kanda ya kaskazini kuna mkutano uliandaliwa viwanja vya manyema akagoma kushuka kwenye gari ikabidi makamu m/kiti zbar wa cdm ashuke kuja kuhutubia
 
What else one can expect from politician? Na ni ustaarabu pia kujitoa once chama kikianguka baada ya uchaguzi! Tizama ya Ed Miliband Na Labour Party yake
 
Ni kweli Wiki mbili kabla ya kampeni kuisha aligoma kufanya kampen na alikuwa kanda ya kaskazini kuna mkutano uliandaliwa viwanja vya manyema akagoma kushuka kwenye gari ikabidi makamu m/kiti zbar wa cdm ashuke kuja kuhutubia
Siasa za upinzani ni za maji taka. Ni siasa za zima moto
 
hakuna cha ajabu, babu duni alikuwa mamluki na anadhihirisha tabia za kimamluki ambazo zinafanana duniani kote.
 
Yaani amechukua uamuzi busara, ameshindwa ndoa
Tatizo ndoa inavunjika kabla ya muoaji hajamaliza kulipa mahari. Swali la maingi ni je mumewe atamaliza fedha ya mahari baada ya ndoa kuvunjika?
 
Unafiki tu umekujaa.
 
Siasa za upinzani ni za maji taka. Ni siasa za zima moto
Lakini Upinzani wangesimama wenyewe hata wakakosa Urais mwaka huu heshma yao ingebaki pale pale
Kuja kuingiza mijitu mingi halafu wakasahau chadema asilia na kuzalisha migogoro mipya ndani ya chama kama alivyofanya bulaya kule Bunda
 
Alishapiga mshiko kutoka kwa LOWASSA ana shida gani.
 
hahahahahahah....huu sasa upuuzi...sisi CUF na CHADEMA tulikuwa tunajua kuwa tuko na Duni temporarily KWA sababu ya Katiba mbovu ya Tanzania inayokataza coallition ya poitical parties....

Katiba hapa unaisingizia tu viongozi wako wenyewe hawataki coalition ya political parties, CHADEMA< CUF ni majina tu kama kweli wote wako wamoja wanashindwa nini kuhamia upande wa pili, Jembe liiteni jembe jamani.
 
Lakini Upinzani wangesimama wenyewe hata wakakosa Urais mwaka huu heshma yao ingebaki pale pale
Kuja kuingiza mijitu mingi halafu wakasahau chadema asilia na kuzalisha migogoro mipya ndani ya chama kama alivyofanya bulaya kule Bunda
Hakika katika mwaka ambao upinzani wamepotea mwelekeo basi ni mwaka huu. Punda amekufa na mzigo haujafika
 
Siasa biashara inayolipa sana! kama kwa mwezi mmoja kavuta 350m anataka nini zaidi? ale na watoto wake atulie zake
 
Tatizo ndoa inavunjika kabla ya muoaji hajamaliza kulipa mahari. Swali la maingi ni je mumewe atamaliza fedha ya mahari baada ya ndoa kuvunjika?
Huo ukoo vigeugeu wanaweza kumdai, kama siyo kumpiga kashifa " eti hawezi kushika mimba"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…