GE2025 Juma Aweso aomba bandari ya mifugo Pangani

GE2025 Juma Aweso aomba bandari ya mifugo Pangani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Mgombea wa Ubunge Jimbo la Pangani Mkoani Tanga Jumaa Aweso amemuomba Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dkt. Samia Suluhu Hassan atakapopata Ridhaa ya kuongoza Tena Serikali awajengee Wakazi wa Pangani Bandari ya Mifugo

Awesome ameyasema hayo Leo Sept 29,2025 viwanja vya Temba Wilayani Pangani Mkoani Tanga kwenye mwendelezo wa Mikutano ya Kampeni za uchaguzi Mkuu ya Dkt. Samia Suluhu Hassan Mkoani Tanga

Awesome amesema kuwa Bandari hiyo ikijengwa utawawezesha wakazi wa Pangani kuchangia Kwa wingi Pato la Taifa kutokana na mzunguko wa kibiashara ambapo chanzo Chake ni uwepo wa Bandari hiyo.​
 
Mji umejaa wavhawi hadi basi..
...waombe barabara itoboe kupita bagamoyo ....Pangani iamke baada 10yrs ndio afikirie bandari ya mifugo kuni mbao mkaa etc...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom