Jullie Paul Academy Inakutangazia nafasi za masomo.

baraka wanna

Member
Sep 8, 2014
25
1
Ni English medium school mpya na yakisasa,Tunapokea watoto kuanzia miaka 2 1/2-kuendelea kwa ajili ya Nursery classes, na tunaandikisha Darasa La kwanza, kwa watoto waliomaliza nursery endapo atafaulu interview yetu.Shule inamazingira mazuri yakusoma,usalama ,tunatoa chakula asubui na mchana,tunaMichezo yakisasa iliyofungwa Shuleni&Tunahuduma ya usafiri.Shule ipo Vikindu wilaya ya Mkuranga.Wahi mapema nafasi ni chache.Kwa mawasiliano 0715377167/0754692414
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom