Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 2,786
- 7,567
Wakuu,
"Serikali na Bunge wamepaka rangi sheria ya uchaguzi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa tume huru ya Taifa ya uchaguzi na ndio maana sisi tunaunga mkono No reforms ili kuwe na chaguzi huru, za haki na za amani ili kila mmoja akigombea aone anaweza kushinda.
Sisi hatupingani na chama, tunakishauri chama kama wajibu wetu na ushauri una hiyari wa kupokea ama kutopokea sasa Katibu Mkuu hajatujibu kwamba kapokea, kausoma ushauri wetu na hauna mantiki ama una mantiki.
Soma Pia: CHADEMA yamng'oa Katibu wa Sekretarieti wa chama, Julius Mwita baada ya kuibuka mzozano kwenye kundi sogozi
Na sisi kwenye waraka wetu tumeandika kuwa iwapo chama hakitakubali ushauri wetu tunaendelea kuheshimu maamuzi ya Chama kwa mapenzi yetu yote.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Mpaka leo, siyo Mwenyekiti wa Chama, sio Katibu Mkuu aliyesema tumepokea na hatukubaliani na nyie fuateni msimamo wa chama na wala hajatuandikia kwasababu sisi tumemuandikia Katibu Mkuu na tukaona waraka upo mtandaoni ukipotoshwa na wapambe na hata Press yetu ya juzi imebidi tuzungumze ili watu waelewe kwamba sisi tunakishauri chama na ningetegemea Mwenyekiti angesema tumepokea ushauri wa G55 na ninawaagiza warudi tukajenge chama kwani msimamo wa Chama ni hivi na hivi lakini wapambe huko nje ndiyo wanatuita waasi na wasaliti lakini sisi hatujapinga msimamo wa Chama." - Julius Mwita