Julius Mtatiro: Njaa hadi Makanisani

Julius Mtatiro: Njaa hadi Makanisani

TataMadiba

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2014
Posts
9,868
Reaction score
5,753
Siasa bwana, mchezo mchafu. Huyu jamaa aliwahi kuwatukana viongozi wa dini kuwa wanaandamana kwenda kwa Lowassa kumshinikiza achukue fomu kwa sababu ya NJAA, soma hapa:
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    26.8 KB · Views: 723
Mbona unalialia sana😕kwani umejipangaje?
 
Sasa hii inatusaidiaje na inatuhusu nini?!! Maccm yamechanganyikiwa sasa yanatafuta kila njia kujikwamua but tuwaambie tuu!!! It is too late to catch the train!!!!
 
Wembe huu ni mpya sio uleule wa ccm, Ushindi unakuja UKAWA
 
Siasa bwana, mchezo mchafu. Huyu jamaa aliwahi kuwatukana viongozi wa dini kuwa wanaandamana kwenda kwa Lowassa kumshinikiza achukue fomu kwa sababu ya NJAA, soma hapa:
"Mtu akiwa na hela zake basi anafanya lolote" Julius Mtatiro. Na kweli jamaa kafanya lolote.
 
There is nothing permanent except change. So mtatiro was right
 
Back
Top Bottom