Julius Mtatiro anena haya

Vunga chalii mwenzako waitara alikuwa na jimbo we dau lako labda uenyekiti wa bodi ya maziwa
 
Hivi mtatiro bado anaamini kuna atakayemsikiliza tena nchi hii ?
 
Huenda hizi ni frustration baada ya Waitara kulamba dume halafu yeye tangu atimkie huko yupo yupo
 
Jiongelee wewe na CUF yako Chadema inaingiaje hapo? Kuna mkutano wowote uliotishwa na Chadema kukuzungumzia wewe Julius Mtatiro . tafadhali usitafute wa kufa nae. Umejimaliza mwenyewe kwa tamaa zako
 
Mwenzie fredd Mpendazoe kahangaika sana kuukashifu upinzani hapa JF mpaka kachoka kaamua kunyamaza sasa ni zamu yako na wewe Julius Mtatiro
Ukishaenda KIJANI basi na safari inaishia hapo hapo,MTATIRO na yeye kashakwisha ukienda kwenye instagram yake watu wanampiga za uso kuanzia coment ya kwanza hadi ya mwisho hakuna anayemsupport.
 
Siku hizi shortcut ya kupata uteuzi toka kwa Jiwe Kichaa ni kuishambulia Upinzani na hususan CHADEMA hata kwa hoja ya kijinga kiasi gani.
Mtatiro ukitaka uteuzi wa haraka katika hiyo singo yako ongeza kibwagizo cha kumsifia Magufuli kana kwamba huna akili nzuri
 
Mtatiro amekuwa na wakati mgumu kweli, na ikitokea pangua ya ma RC na MA DC asipopata nafasi anaweza kufanya kama mzee Yusuph kuachana na taarab, nae anaweza kusema kaacha siasa aanze kuandika kaswida.
 
Mwenzako alifunga vizuri mikataba yake jana kakamilisha usajili wewe umebaki kujing,ata vidole kumbuka mtatiro mpo wengi twende kwazamu
 
Haswaaa!
 
Haswaaa!
 
Julius Mtatiro Umefanya vijana wawadharau sana wana siasa wa watanzania bora ukae kimya
 
Siasa ni uwezo wa kusema kwa hakika nini kitatokea kesho na bado uwe na uwezo baadae wa kuelezea kwanini hakikutokea- Winston Churchill.
 
sawa, mtatiro njaa dawa yake ugali tu, mkumbushe mteuzi si unajua kanada hakuna balozi.
 
Kama hoja zake zina ukweli vile katoa na evidence nafikiri atapingwa kwa evidence pia. Siasa siitaki KABISAAAAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…