Mwananchi wa chini
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 227
- 599
Hili andishi linathibitisha zaidi kwamba Mtatiro, kama ndiye ameliandika, basi yuko frustrated!Na Julius Mtatiro
Nimeiona hoja ya ndimi mbili; kwamba zamani niliisema sana CCM, leo naitetea na najipendekeza CCM. Kwamba jana nilisimamia hiki, leo nasimamia kile.
.
.
Katika siasa hiyo ni CHANGE OF POSITION kulingana na wakati na maamuzi ya mtu au taasisi, nitawapa mifano miwili;
.
.
1. Baada ya Rais Karume Jr wa Zanzibar kushinda urais wa Zanzibar mwaka 2005, CUF ilipinga ushindi wake, ikakataa kutambua urais wake. CUF ilizunguka Zanzibar nzima ikihubiri kuwa uongozi wa CCM ni wa kidhalimu, uongozi wa Karume ni haramu na serikali ya Karume ipingwe usiku na mchana.
.
.
Baadaye CUF ilipojitafakari sana, hasa Katibu Mkuu Seif Sharif na viongozi wa Zanzibar wakaona ni muhimu kutafuta suluhu na Rais Karume ili mambo yaende.
.
.
CUF ile ile ambayo ilizunguka nchi nzima kusema Karume Jr hafai, ni mbaya na asiungwe mkono, ikaitisha mkutano Kibandamaiti kutangaza kumtambua Rais Karume kama Rais, kuitambua CCM kama chama kinachoongoza Zanzibar na na kutangaza kumuunga mkono Karume Jr.
.
.
Hiyo inaitwa CHANGE OF POSITION, CUF iliona haitaleta manufaa yoyote kwa Zanzibar ikiendelea na msimamo wa kipuuzi wa kutomtambua Karume Jr. Unaweza kuiita CUF ndimi mbili?
.
.
2. CHADEMA na viongozi wake (najua wanaongoza kunishambulia mitandaoni tangu niondoke upinzani), walifanya kazi kubwa ya kuueleza umma wa watanzania namna Lowassa alivyo mchafu na fisadi wa kutupwa. Mashabiki mmesahau?
.
.
Baada ya miaka 7 ya kumchafua Lowassa mwaka 2015 SUMMIT YA UKAWA (Viongozi wakuu; Freeman, Lipumba, Mbatia n.k) wakamleta Lowassa yuleyule kuwa mgombea Urais wa upinzani, nakumbuka kwenye kampeni za 2015 sote tuliogombea hatukuwa na option zaidi ya kumnadi Lowassa kama mgombea wa upinzani.
.
.
Halafu watu wale wale waliomtukana Lowassa kwa miaka 7 baadaye akawa mgombea wao nimewaona wanahangaika sana na Mtatiro, wanasema Mtatiro amefanya dhambi kubwa kujiunga CCM aliyokuwa anaipinga, au kumuunga mkono Rais JPM.
.
.
Wanasema Mtatiro ni Msaliti kwa kujiunga CCM. Hizi ni frustration za hali ya juu sana. Kwa sasa Mtatiro hawezi kuokoa kuzama kwa vyama vilivyojengwa kwenye misingi ya watu binafsi, vyama ambavyo mtu fulani akitoka vinakufa, vyama ambavyo vimeshindwa kwa miaka 20 kuishi yale ambayo vinayahubiri.
Naona unamkumbusha jiwe kakusahau kama upo ili akakuteue nafasi ya CanadaNa Julius Mtatiro

Kweli kabisa mkuu. Tatizo nyumbu watunzi kumbukumbuNa Julius Mtatiro

Toka lini nyumbu wakawa na ubongo wa kumbukumbu?Kweli kabisa mkuu. Tatizo nyumbu watunzi kumbukumbu
Na Julius Mtatiro

amepanikiHili andishi linathibitisha zaidi kwamba Mtatiro, kama ndiye ameliandika, basi yuko frustrated!
Tunamjibu Kwa kua statement hiyo anaitoa Leo .alinunuliwa kabla ya Waitara sasa kama kawaida ya hulka ya binadamu angependa apate yeye kwanza ndo maana in kama anamkumbusha jiweAjibiwe sio kumzodoa
Hata mimi nimeona hilo!!!Watu tushamsahau na hakuna mashambulizi kwake kivile,anakuja na ngonjera hii!Naona unamkumbusha jiwe kakusahau kama upo ili akakuteue nafasi ya Canada
Piga domo Julius... Maisha yamekuwa tight hatari... Pengine ukaula Canada.. who knows...Na Julius Mtatiro
Nimeiona hoja ya ndimi mbili; kwamba zamani niliisema sana CCM, leo naitetea na najipendekeza CCM. Kwamba jana nilisimamia hiki, leo nasimamia kile.
.
.
Katika siasa hiyo ni CHANGE OF POSITION kulingana na wakati na maamuzi ya mtu au taasisi, nitawapa mifano miwili;
.
.
1. Baada ya Rais Karume Jr wa Zanzibar kushinda urais wa Zanzibar mwaka 2005, CUF ilipinga ushindi wake, ikakataa kutambua urais wake. CUF ilizunguka Zanzibar nzima ikihubiri kuwa uongozi wa CCM ni wa kidhalimu, uongozi wa Karume ni haramu na serikali ya Karume ipingwe usiku na mchana.
.
.
Baadaye CUF ilipojitafakari sana, hasa Katibu Mkuu Seif Sharif na viongozi wa Zanzibar wakaona ni muhimu kutafuta suluhu na Rais Karume ili mambo yaende.
.
.
CUF ile ile ambayo ilizunguka nchi nzima kusema Karume Jr hafai, ni mbaya na asiungwe mkono, ikaitisha mkutano Kibandamaiti kutangaza kumtambua Rais Karume kama Rais, kuitambua CCM kama chama kinachoongoza Zanzibar na na kutangaza kumuunga mkono Karume Jr.
.
.
Hiyo inaitwa CHANGE OF POSITION, CUF iliona haitaleta manufaa yoyote kwa Zanzibar ikiendelea na msimamo wa kipuuzi wa kutomtambua Karume Jr. Unaweza kuiita CUF ndimi mbili?
.
.
2. CHADEMA na viongozi wake (najua wanaongoza kunishambulia mitandaoni tangu niondoke upinzani), walifanya kazi kubwa ya kuueleza umma wa watanzania namna Lowassa alivyo mchafu na fisadi wa kutupwa. Mashabiki mmesahau?
.
.
Baada ya miaka 7 ya kumchafua Lowassa mwaka 2015 SUMMIT YA UKAWA (Viongozi wakuu; Freeman, Lipumba, Mbatia n.k) wakamleta Lowassa yuleyule kuwa mgombea Urais wa upinzani, nakumbuka kwenye kampeni za 2015 sote tuliogombea hatukuwa na option zaidi ya kumnadi Lowassa kama mgombea wa upinzani.
.
.
Halafu watu wale wale waliomtukana Lowassa kwa miaka 7 baadaye akawa mgombea wao nimewaona wanahangaika sana na Mtatiro, wanasema Mtatiro amefanya dhambi kubwa kujiunga CCM aliyokuwa anaipinga, au kumuunga mkono Rais JPM.
.
.
Wanasema Mtatiro ni Msaliti kwa kujiunga CCM. Hizi ni frustration za hali ya juu sana. Kwa sasa Mtatiro hawezi kuokoa kuzama kwa vyama vilivyojengwa kwenye misingi ya watu binafsi, vyama ambavyo mtu fulani akitoka vinakufa, vyama ambavyo vimeshindwa kwa miaka 20 kuishi yale ambayo vinayahubiri.
HahahahaKweli kabisa mkuu. Tatizo nyumbu watunzi kumbukumbu
umesoma yote kweli ?maana kuna kitu kasema kinaitwa CHANGE OF POSITIONUngesema haya ukiwa ndani ya cuf kipindi kilekile tungekuona una akili lakini kwa sasa tunajua ccm wamekutoa akili kama kawaida yao ccm
Akitaka cheo awaambie wanajeshi waende kununua korosho na unguja na pembaAnahangaika kupata uteuzi!